Napendekeza vyuo vya VETA vihame kutoka kutoa mafundi makenika wa magari na pikipiki waanze kufundishaa uundaji magari na pikipiki na mitambo mbali mbali wawezao kuiunga na kuipambua mfano wa hivi kwa haraka
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.