Vyuo vya kozi ya biashara Mwanza

Vyuo vya kozi ya biashara Mwanza

NINAOMBA USHAURI PIA, NINA SHAHADA YA UALIMU WA MASOMO YA SAYANSI NATAKA NIKASOME CPA, INAWEZEKANA??
 
Cpa na wala huna shahada ya uhasibu..make hapo kwanza ncheke.

#MaendeleoHayanaChama
 
Fafanua vizuri...yani upate cpa bila kuwa na foundation ya accounts??

#MaendeleoHayanaChama
Hiyo inawezekana ndugu mbona hata wenye elimu za kuanzia form four huwa wanasoma masomo ya bodi ya uhasibu ila wanaanzia level za chini mno kama ATEC I baadae anakuja ATEC II, hivyo hivyo mpaka anafikia hatua ya final stage.
 
Back
Top Bottom