National Council for Technical Education (NACTE) then seewadau naomba kufahamu vyuo vya afya vya serikali vinavyochukua kuanzia ngazi ya cheti mpaka degree kwa kozi za ufamasia, utabibu, ukunga na maabara?
hapo utaona vyuo vya afya... weka term kwenye search vitakuja vyote weka neno health vitakuja vyoteAsante sana mpendwa retrd
Nashukuru sana, pia naombeni ushauri vyuo vingi vzuri vina compition sana, nina mdogo wangu yupo kijijini na amesoma huko na kupata D masomo yote, je anasifa za kuanza na basic certificate in clinical medicine..? na chuo kipi anaweza kuchaguliwa kwa urahisi kiwe cha serikali. Wenye uzoefu na wanaofahamu zaidi naomba mnisaidie juu ya hilo.hapo utaona vyuo vya afya... weka term kwenye search vitakuja vyote weka neno health vitakuja vyote