Vyuo vya afya kwa course za diploma

Vyuo vya afya kwa course za diploma

Abdul Mganyizi

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2019
Posts
1,040
Reaction score
2,009
Habari ndugu zangu,mdogo wangu matokeo yake ya form six alipata two kwa PCB,alikuwa anataka course za sayansi MD,pharmacy,medical laboratory n.k.Lkini ameomba vyuo vingi hajapata.Sasa anataka asome deploma Kwa course hizo ila vyuo ndoo hatujavijua.Mwanye kujua vyuo vinavyotoa deploma ya course za sayansi anisaidie please.
 
Kibaha na Lugalo, jaribu lakini kwa kutumia cheti cha form 4.
 
Back
Top Bottom