Vyuo vipi ni bora kwa kilimo?

Yeye yupo Morogoro.
Nilisikia Ilonga pia ni moja kati ya vyuo vikubwa vya kilimo,sasa napenda kujiridhisha ili nisimpoteze ninapomshauri kuhusu chuo bora ili akatimize malengo
Ilonga ni chuo kikubwa tu.. Mwambie aombe fasta maana maombi yameshaanza
 
Kuhusu government sponsorship huwa wizara ndo inachagua wanafunzi, hvyo wizara hutoa priority kwa wale wenye ufaulu wa juu, So kwa matokeo hayo unaweza pata mkuu...
Ahsante kwa direction kiongozi.

Ngoja nisubiri kwa wajuacho Ilonga ili nijue namsaidiaje ndani ya wiki hii tu apply.

Kwake itakuwa rahisi sana kigharama kwenda na kurudi vipindi vya likizo au dharura kama chuo hicho kitakuwa kina ubora mzuri
 
Nwambie akasome elimu ya juu anatafta chuo cha kili na hzi mvua za mgao wakulima xa hiv wanahama hiyo sekta atakuja amcmamie nan
Acha mawazo mgando kjana ur human being nt God una uwezo wa ku predict future so be humble
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…