Fredrick Mmari
Senior Member
- Jul 8, 2013
- 144
- 37
MATIs Uyole na Mtwara vipo vizuri sana mkuu, Uyole kuna mshikaji wangu anasoma pale, So ananiambia chuo kipo fresh kinyama..Vipi 2 vizuri zaidi hapo?
Kweli mkuu kama kile cha Mtwara kina reseach site palepaleMkuu nilikuwa quality assurance officer chuo fulan mbeya ,,dealing with agriculture and natural resources,ko najua haya mambo,
The best institutes ni zile zenye research sites nearby,mfano uyole is the best in tanzania,
Nenda pale kachukue form ya application,those academic grades are qualified to be enrolled,
Hakuna chuo kama uyole,ila kwa anaetaka kusoma,MATIs Uyole na Mtwara vipo vizuri sana mkuu, Uyole kuna mshikaji wangu anasoma pale, So ananiambia chuo kipo fresh kinyama..
Omba mkuu kati ya hivyo.
Yaan kwa ufaulu huu atachukuliwa fasterHabari wana jamvi
Nauliza vyuo gani bora kwa kozi za kilimo kwa mwanafunzi anayetaka kusoma certificate ya general agriculture?
Pia namna gani rahisi ya kupata ufadhili wa serikali ukiangalia kwa sasa mfumo wa NACTE umebadilishwa na wanafunzi kutakiwa kuomba moja kwa moja chuo husika?
Ufaulu wa binti huyo ni kama ifuatavyo
CIVICS C
HIST C
GEOG C
KISW C
ENGL C
CHEM C
BIOS C
MATHS D
PHY F
Ana division 2.21 kamaliza 2016
Hapana mkuu kilimo ni uti wa mgongo katika nchi hii..Nwambie akasome elimu ya juu anatafta chuo cha kili na hzi mvua za mgao wakulima xa hiv wanahama hiyo sekta atakuja amcmamie nan
Shukrani.MATIs Uyole na Mtwara vipo vizuri sana mkuu, Uyole kuna mshikaji wangu anasoma pale, So ananiambia chuo kipo fresh kinyama..
Omba mkuu kati ya hivyo.
Ahsante kwa ufafanuzi kiongozi.Mkuu nilikuwa quality assurance officer chuo fulan mbeya ,,dealing with agriculture and natural resources,ko najua haya mambo,
The best institutes ni zile zenye research sites nearby,mfano uyole is the best in tanzania,
Nenda pale kachukue form ya application,those academic grades are qualified to be enrolled,
Hicho cha Mtwara na Ilonga vinaweza fanana ki sifa?Kweli mkuu kama kile cha Mtwara kina reseach site palepale
Hicho sikijui fresh, ila kama upo Dar itakuwa fresh sana kupiga msuli hapo, kwa maana ni karibuShukrani.
Vipi kuhusu Ilonga-Morogoro?
Na kwa ufaulu huu anapataje govt.sponsorship kwenye vyuo vya serikali?Yaan kwa ufaulu huu atachukuliwa faster
Kila mtu ana malengo yake.Nwambie akasome elimu ya juu anatafta chuo cha kili na hzi mvua za mgao wakulima xa hiv wanahama hiyo sekta atakuja amcmamie nan
Umejibu vyema sana.Hapana mkuu kilimo ni uti wa mgongo katika nchi hii..
Mwache akasome, nchi inahitaji wataalamu wa kilimo
Kuhusu government sponsorship huwa wizara ndo inachagua wanafunzi, hvyo wizara hutoa priority kwa wale wenye ufaulu wa juu, So kwa matokeo hayo unaweza pata mkuu...Na kwa ufaulu huu anapataje govt.sponsorship kwenye vyuo vya serikali?
Yeye yupo Morogoro.Hicho sikijui fresh, ila kama upo Dar itakuwa fresh sana kupiga msuli hapo, kwa maana ni karibu