NANGA WA DEPO
JF-Expert Member
- Oct 8, 2014
- 917
- 1,202
Wakuu samahanini kwa usumbufu na poleni kwa majukumu mliyonayo.
Napenda kuvijua vyuo vya afya vinavyotoa kozi ya diploma in clinical medicine kwa wale wanao jiendeleza I mean tayari wana certficate.
Na taratibu za kujiunga zikoje au kama kuna wahusika wanao upgrade C.A kuwa C.O naomba mnisaidie hivyo vyuo na pia ningependa kujua kwa mtu mwenye certificate atasoma kwa mda gani!!!!
Msaada wenu wakuu unahitajika kwani NACTE maelezo yao hayajitoshelezi kuhusiana na shida yangu.