dangadunguri
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 1,276
- 1,310
Kwanini mmekuwa wavivu sana wa kusoma hadi mnatia aibu sana? Kwanini unajipotosha? Ni wapi kuna UdsmView attachment 369770
Haya mavyuo ya St mwaka huu mbna kama yameandamwa kiasi hiki, mengi yanapukutika tuuuuuuu.