Nzowa Godat
JF-Expert Member
- Jun 15, 2011
- 2,785
- 824
So tufanyaje?
I am just passing !!!!!! kwa heliiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
kwa namna hii bado tunasema kiswahili ni lugha yetu ya taifa?I am just passing !!!!!! kwa heliiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
kwa namna hii bado tunasema kiswahili ni lugha yetu ya taifa?
we jamaa smtimes view then go! Ueleweki pia huelewiSa we ulitaka tz itambulike kwa elimu gan ilyopo nchin,elimu ka ya udom,udsm,sua au cjui ifm na iaa unaweza ukairnganisha na vyuo ka MIT,Havard,cambridge na oxford kweli..
hata mzumbe kipo
Kuorodhesha vyuo vikuu
kulingana na umaarufu ni
desturi inayokua kwa kasi sana
katika sekta ya elimu ya juu.
Orodha hiyo, inayojumuisha
vyuo vikuu vilivyo maarufu
zaidi duniani, ina walakini
kwani bara zima halimo.
Hutapata hata chuo kimoja
kutoka bara la Afrika kwenye
orodha hiyo.
Vyuo vikuu vilivyoorodheshwa
ni vya Marekani, Ulaya na
baadhi kutoka China na Korea
Kusini huku Afrika ikiwa
imesahaulika.