BUSARA ZANGU
JF-Expert Member
- May 5, 2013
- 778
- 1,269
apo kwa udom na mzumbe namashaka kwa kweli.......
Nothing new there! hyo rank kila siku nd hyohyo!...hahahaha af we are very tired na thread ka hiyo! Mda si mrefu zogo linaanza humu....wap ifm mpooooooooooo
ifm ni taasisi na siyo chuo kikuu,af hapo pale wanasoma warembo wa ukweli kinyama so si dhani kuna kusoma pale,watoto wanaingia beach za kigambon daily
ina maana kwa positions vilipowekwa havistahili ama?
achana na huu upuuz wana2haribia jukwaa le2watu mkikosa vya kufanya bhana! utadhan nyie ndo mliejenga vyuo hivo!
inamaana bugando ni cha ngapi na kwa kigezo kipi?