Adjutis Junior
Senior Member
- Mar 1, 2018
- 118
- 23
- Thread starter
- #41
Yeah kumbe kwa maana hauwez kuapply online tmisemi then ukawa kwa selection badala yake wanachaguliwa kutoka f4 aumkuu mi nakushauri km unao uwezo wa kusoma mwaka 1 private basi nenda baadae uhamie srikalini maan huyo jamaa ameniambia slots huwa ndogo maan kuna wale wa direct kutoka form 4 wanaopangiwa n tamisemi