Vyuo nje ya nchi India

Nataka kujua prosess ya kutuma fees chuo huko india njia zake unafanyaje na kupitia benk ipi pls. Mwenye kujua anaeleweshe

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanao kama alienda mwenyewe Kila kitu Kiko kwenye joining instructions aliyopewa Kama alipitia kwa wakala wakala ndie anajua .Kama unalipa kupitia wakala Ni lazima uendelee huko ili alipwe commission yake ukilipa moja kwa moja utamnyima riziki ya commission mtanzania mwenzetu sababu kiendacho kwa mganga hakirudi.

Wakilipwa uwezo wa kumpa commission yake mdogo.Yeye akilipa anakata chake anawaruhishia chao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…