Kama ligi kuu iko karibu kufunguliwa kwanini shule na Vyuo visifunguliwe naomba kuwasilisha maana tumeambiwa hakuna Mwanamichezo hapa kwetu aliyeambukizwa
Kama ligi kuu iko karibu kufunguliwa jwa nn shule ba vyuo visifunguliwe naomba kuwasilisha maana tumeambiwa hakuna mwanamichezo hapa kwetu aluyeambukizwa
Michezo tutafungua tupate kodi kutoka huko viwanjani shule na vyuo tutafungua baadae baada ya kupata fedha za kutisha kuendesha nchi.
Kuna nihimili mi3 why mwimili mmoja tena mdogo utoe maelezo ya kufanya kwa mwimili mkubwa