Bishop Fihavango
Member
- Jul 26, 2012
- 16
- 4
Kuna vyumba viwili vinapangishwa (Chumba na Sebule & Chumba na Sebule) bt sio master bedroom bei ni sh 80,000/= na Sh 100,000/= kwa mwezi but inatakiwa kodi ya mwaka mzima, Umeme ni Luku na nyumba luku meter haina deni. Vyumba vipo Magomeni Mikumi mtaa wa Manda Jijini Dsm. Kwa mawasiliano zaidi wasiliana kwa simu no 0719101414 au 0682351815 jina Juma