kijana13 JF-Expert Member Joined Sep 24, 2013 Posts 1,981 Reaction score 3,635 Jan 25, 2017 #1 Nahitaji mabanda au vyumba kwa shughuli za ujasiriamali.(eneo la kutengenezea bidhaa) . Eneo liwe kimara, ubungo na maeneo jirani na hayo au maeneo mengine usafiri usiokuwa tabu. USALAMA NA UMEME ndio vitu muhimu.
Nahitaji mabanda au vyumba kwa shughuli za ujasiriamali.(eneo la kutengenezea bidhaa) . Eneo liwe kimara, ubungo na maeneo jirani na hayo au maeneo mengine usafiri usiokuwa tabu. USALAMA NA UMEME ndio vitu muhimu.