Jerhy
JF-Expert Member
- Jul 11, 2013
- 3,135
- 1,000
Habari!
Napenda kutoa nafasi kwa wahitaji wa vyumba safi, vyenye usalama na huduma ya maji. Vyumba vipo Kibo Ubungo na kuna choo ndani, nje sehemu kubwa ya kupika, kuweka mkaa, ndoo za maji na vinginevyo ulivyonavyo. Imebaki miezi miwili ili mkataba uishe japo mmiliki imempasa kuondoka na anaviuza kwa Tsh 500,000/= baada ya hapo unasaini mkataba wa miezi 3 na utakuwa unalipia kila mwezi Tsh 150,000/=. Nyumba ni mpya ndo imeanza kukaliwa mwezi wa disemba 2014. Ni ruhusa kuja kuona ni free hakuna charges Mawasiliano na picha Karibu whatsapp 0787459850