Vyuma ngangangaa

Nguvu moja

JF-Expert Member
Oct 20, 2017
3,371
2,712
Mmmh!
Screenshot_20180831-165511.jpg
Screenshot_20180831-165527.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Kuna mwanamke namtafuta happy Kimanga Tabata au Kijiwe I Kama sikosei aitwa Jasmin
Jasmin yupi Mkuu? hebu nitajie shule yake ya olevel au advance au chuo kabisa alichosoma, huenda ikawa ndio huyu jasmin nimjuaye mimi maana nae ni wa kimanga.
 
Binti Jasmin hakuwahi kusoma chuo nadhani. Marais ya mwisho nimemuona 2010. Alikuwa na Rafiki/ kaka anaitwa Ali aliyekuwa anauza/anasambaza nywele za Sangita katika maruka ya urembo na saluni. Aliwahi kufanta kazi kwenye kiwanda Cha plastic happy Tabata.
 
Basi siyo huyu Mkuu, huyu hajawahi kufanya kazi kiwanda chochote.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom