Nijuavyo mimi,vyuma vikikaza vizuri ndipo mashine hufanya kazi vizuri,lakini vyuma vikilegea,mashine huleta matatizo,je ni sahihi kutumia ugumu wa maisha kwa kulinganisha na vyuma kukaza? au watanzania tunakuwa tunalenga nini?!!# mojamoja mpaka ulaya#