kivyako
JF-Expert Member
- Feb 2, 2012
- 14,342
- 12,066
Uwanja mpya?
ndo jina lake 'uwanja wa taifa'
Uwanja mpya?
Zile asilimia 15 ya mapato ya uwanja zinakwenda wapi?
Kwahyo we unahisi mzgo tu ndo uchafu?hata mkojo ni uchafu,ivo maji kuwepo choon n lazma,either unashusha mzgo au kamzgo maji lazma yatumikeKama hamna maji ya nini kushusha mzigo? si ndio uchafu wenyewe?
Ni upuuzi kivipi kaka?
Zile asilimia 15 ya mapato ya uwanja zinakwenda wapi?