Vyoo vinavyovutia

Kwa hivyo vyoo vya vinyago vilivyovalishwa bikini, unaweza ukajisahau ukakojoa kweli....
 
Hivi una kimba kiasi gani hadi haliishi na uanze kucheza na mini golf?
 
hicho chenye moto nadhani ndio mwanzo wa jamaa wa kizenji kuitwa mchambawima
 
Pamoja na urembo wote huo wa maumbo mbalimbli ya vyoo ukipatwa na tumbo la kukimbiza choo chochote utakiona kizuri tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…