Vyoo na mabafu yawe na paa

Rubber

Member
Joined
Oct 9, 2019
Posts
26
Reaction score
51
Technologia imekua sana. Kama ukoo chooni au bafuni Satelaiti zinakuona. Hivyo basi Choo na Bafu ambazo hazina paa ziwe na paa.
 
Umeeleweka, nalo hili tutalitazama!
 
Hapana acha tuone vinavyoendelea angani sisi tushazoea choo bila paa huku uswahiLini
 
Technologia imekua sana. Kama ukoo chooni au bafuni Satelaiti zinakuona. Hivyo basi Choo na Bafu ambazo hazina paa ziwe na paa.
Hebu nenda chooni alafu tupe location yako kama tutakuona.
 
Tatizo kubwa sana hili. Mue ninaishi nyumba ya ghorofa moja na master ina balcony ambayo inatazamana na choo cha jirani yangu ambacho hakina paa. Ukikaa kwenye balcony watu hawaendi chooni siku hiyo. Imebidi nisiwe nakaa kwenye balcony kuwapa faragha majirani

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
kama riziki iko njema wasaidie kufunika hivyo vyoo ndugu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…