Vyombo,vyombo,vyombo .

Vyombo,vyombo,vyombo .

sedouf

Member
Joined
May 6, 2011
Posts
28
Reaction score
10
Nipo na vyombo used lakini vipo katika very good condition.
Naweza kukupatia kwa idadi ya sahani utakazo, au pia naweza kukupatia skids za vyombo mchanganyiko.usisite kuwasiliana nami . 1 647 706 3114.
email sedouf@gmail.com
 

Attachments

  • 46795116.jpg
    46795116.jpg
    32.8 KB · Views: 412
  • 46997112.jpg
    46997112.jpg
    29.5 KB · Views: 352
Mkuu hizi mambo umezijumua "Nan Tian Market"?
 
Mkuu hivi vyombo vinapatikana hapa Canada (ontario)
 
Hivi vyombo ni "used" lakini ni high quality na vipo katika hali nzuri kabisa.
Navipata kutoka katika mahoteli na restaurant za hapa Ontario
 
wateja walio nyumbani kuupata mazigo wao ni rahisi.
Binafsi natuma makontena yangu mwenyewe kati ya toronto na zanzibar.
Iwapo mteja tumefahamiana bei .itamlazimu mteja kuniachia deposit kwa mujibu ya mzigo anaoutaka.
Deposit hii ataieka in person pale mlandege zanzibar ambapo ndio tunapoendesha biashara zetu za kifamilia.
Nikipokea deposit natuma mzigo na baada ya mzigo kufika ( miezi miwili) tunamaliziana malipo na kukabidhiana mizigo yetu
 
Sasa tunalishana mimate ya wazungu live...yaani mpaka sahani nazo pia tuagize used...
 
Back
Top Bottom