Wee kweli unaonyesha hata darasani ulikuwa komeo, wapi unakwama kuelewa nilichoongea/ ngoja nikuelimishe kidogo...wahusika wakuu kwenye uchaguzi huu wana watu wao humo na pia ndio wanawalipa hao Takukuru sasa unashindwaje kuelewa ndugu yangu na ndio maana nikasema uliona wapi mwizi akajikata mkono anaotumia kuiba?