Kama ulishafahamu kuwa kwa sasa anapatikana wapi, mbona hujaeleza kama uliwahi kuwasiliana na viongozi wake?? au ulishapeleka summons?? zaidi kinachoonekana hapa ni nia yako ya kumchafua huyo jamaa katika media, na kwa vile labda naye hana fursa ya kukujibu humu. Au labda wewe ndiye mkewe ambaye amekukimbia na ameoa mwanamke mwingine sasa povu linakutoka!! Tuache tujadili mambo mazito yanayolikumba taifa kwa sasa, unless utueleze kuwa naye ni mtu mkubwa sana asiyewezekana kama mgao wa umeme.