Wee adi leo unaangalia TBC ya nini ifute kabisa kwenye kingamuzi cha na magazeti ya uhuru achana nayo![/QUOTE. Kwa hiyo unataka asome Tanzania daina la j5?
Watanzania tumekusikia.Watanzania tuwe makini navyombo vyetu vya habari
Wee adi leo unaangalia TBC ya nini ifute kabisa kwenye kingamuzi cha na magazeti ya uhuru achana nayo!
Kweli Maradhi mengine hayana tiba. Kama Leo TBC inatafsiliwa kama 'Vyombo vingi vya habari' kama ilivyowekwa na mtoa mada, basi hakuna wakukutibu acha ujifie tu.
Jamani msiangalie tu taarifa za habari angalieni na vipindi vinavyokaribisha wageni.... samahani mtoa mada kama unasoma tu magazeti.... go deep and come with a real reason.... ukiangalia kama TUONGEE ASUBUHU YA STAR TV au ITV wanvyoongea na wageni wao hutasema huo upumbavu..... chukua maarifa kabla hujatapika