Nimejaribu kufanya malipo ya mzigo kutoka Us kwa njia ya Airtel mastercard lakini nashangaa kuona ujumbe wa Muamala wako Haukukamilika TXN Id: MP240304.1650.T99101, Mpokeaji kafungiwa nifanyaje apo?
Habari wakuu,nimejaribu kufanya malipo ya mzigo kutoka Us kwa njia ya Airtel mastercard lakini nashangaa kuona ujumbe wa Muamala wako Haukukamilika TXN Id : MP240304.1650.T99101, Mpokeaji kafungiwa nifanyaje apo?

Wasiliana na mpokeaji huenda account yake imefungiwa kweli
Akupe other means ya kumtumia pesa
Ukiendelea kulazimisha hapo pesa itakatwa halafu haitafika kwa muhusika na kwako haitarudi
Utaanza kukimbizana nao sasa ili upate pesa yako