Vyeti vya Lucy Kidubo vimeokotwa

Vyeti vya Lucy Kidubo vimeokotwa

SAMARITANO

New Member
Joined
Sep 2, 2016
Posts
4
Reaction score
3
Tafadhali kama unamfahamu mwenye jina la LUCY KIDUBO mtaarifu kuwa kuna mtu anavyo vyeti vyake alivyovipoteza, inaonyesha ni mwanafunzi wa UDOM maana kuna payslip za UDOM. Halafu niPM nikupe namba ya mawasiliano
 
Unataka historia ya jinsi vilivyookotwa au ? Hebu kuweni na ustaarabu si lazima kila post uchangie, kama haikuhusu iache tu. huyo mtu aliepoteza vyeti ndio anayetakiwa kujua vimeokotwa wapi siyo wewe! Hivi vyuo havifunguliwi tuu ili tupumzike na huu utoto?
wewe haujui kutoa taarifa vyet vya Lucy BT anaweza kuwa hajapoteza mwenyewe alipewa mtu ampelekee au haujawai kuona tangazo la kupotelewa kwenye gazeti?? lazima utoe location ambapo umeokota
 
Habari SAMARITANO mm namjua lucy kidubo.nimekutumia sms naomba uiangalie ili uweze kuwasiliana nae na kumsaidia apate vyeti vyake.
 
Back
Top Bottom