Mtuhumiwa anapotiwa hatiani kabla hakimu hajaangusha hukumu hukumu anapewa nafasi ya kuelezea/kuomba nafuu.Wengi tunawasikia wakisema 'Ni kosa langu la kwanza naomba nisamehe" wengine "nina ugonjwa nakunywa dawa" na hata wengine wanataja ukubwa wa familia zao.
Tumekamatwa na kosa la kufoji vyeti na hili ni kosa kwa mujibu wa sheria ila ili tusaidiane katika kuomba nafuu kwa HAKIMU naomba tuangalie scenario tofauti,mimi natoa moja.
"Nilimaliza darasa la saba na nikawa nafanya kazi katika maabara ya magonjwa ya binadamu.Ilipofika mwaka 1992 nikapata nafasi ya kwenda kusoma lab assistant Singida na kuanzia hapo nimefanya kazi sehemu mbalimbali mpaka kufikia ku operate machine za biochemistry na Haematology.Pia nina uwezo wa kuafanya Gram stain,ZN stain na mengine mengi.
Ilipofika mwaka 2013 nikawa na nia ya kuchukua Diploma Muhimbili na hapo ndipo nilipoingia mtegoni kwani ilibidi niwe na cheti cha kidato NNE.Niliingia na nikamaliza Diploma kwa kufaulu vizuri kabisa na kwa sasa nafanya katika mradi mmoja wa utafiti wa Kimataifa ingawa ajira ndio hiyo imesitishwa jana"
Hi ni scenario mojawapo kati ya nyingi na naomba mnisaidie,

- Je mtu huyu anayo haki ya kutumia certificate yake?
- Vipi michango katika hifadhi ya jamii?