Vyeti vya kidato cha nne 2016 vinatoka lini?

Noble-wolf

New Member
May 24, 2018
1
0
Ni muhitimu kidato cha nne 2016 lakini mpaka sasa tunaambiwa kuwa vyeti vyeti havijatoka naomba kupata msaada katika hili kwa mwenye mwongozo kama yupo??
images-2.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom