Vyeti naweka kabatini

KABOCHO

Member
Feb 4, 2017
47
36
Nimeamua Kustaafu Kutumia vyetu Vyangu na kuhama kwa muda timu ya kutafuta ajira maana dah mabosi wa timu hawataki kununua wachezaji wapya wamewakumbatia wazee hata kusaidia timu hawawezi, makocha nao wakiambiwa watafute wachezaji Wanawachukua wajomba Zao, watoto Lao hata pasi hawawez Kupiga,wengine hata mpira hawajawah kucheza.Niliwaona wanapoteza muda wale jamaa Zangu pale mabibo hostel waliokuwa wanasoma huku wakiwa na mabanda ya chips ingawa nilijaribu kwenda Karikoo kuchukua earphone za philips na Sony Kuuza faida iliisha kwa matumiz yasiyo ya maana NAJUTA Kuto Save wakat niko chuo, nataman nirud Sasa chuo nipewe tena boom ningekuwa nakula RB-rice an' beans na maji ya kudownload niki focus mbele life after university, niko mtaani System imebadilika inahitaji innovative and creative minds more than certificates, alwalys I keep thinkin so I can exist and show the value of my education bt I failed, sasa nabadilisha approach na approach nayoichukua ni Lii nimeita only minds an' hard work approach ambayo inaniambia fanya kaz yoyote halali,inaniambia aibu ni adui,inaniambia usilalamike jichang anye mtaani vua vyeti Sahau ulisoma,inaniambia mtaj Sio kikwazo cha maisha nisigope nijiongeze. Mwisho ndugu zangu mlioko vyuoni this time msiijisahau please save as you can for your future. NlKO TAYARI FANYA KAZ YOYOTE HALAL
 
Kwa uandishi mbovu kama huu na wasiwasi kama kweli wewe umemaliza University,hata kuweka japo paragraph tu imekushinda?
 
Mkuu hapa mtu ukiwa unaandika unaassume unaongea,paragraph na mengineyo tunamuachia Barafu na mzee mwanakijiji
 
Nimeamua Kustaafu Kutumia vyetu Vyangu na kuhama kwa muda timu ya kutafuta ajira maana dah mabosi wa timu hawataki kununua wachezaji wapya wamewakumbatia wazee hata kusaidia timu hawawezi, makocha nao wakiambiwa watafute wachezaji Wanawachukua wajomba Zao, watoto Lao hata pasi hawawez Kupiga,wengine hata mpira hawajawah kucheza.Niliwaona wanapoteza muda wale jamaa Zangu pale mabibo hostel waliokuwa wanasoma huku wakiwa na mabanda ya chips ingawa nilijaribu kwenda Karikoo kuchukua earphone za philips na Sony Kuuza faida iliisha kwa matumiz yasiyo ya maana NAJUTA Kuto Save wakat niko chuo, nataman nirud Sasa chuo nipewe tena boom ningekuwa nakula RB-rice an' beans na maji ya kudownload niki focus mbele life after university, niko mtaani System imebadilika inahitaji innovative and creative minds more than certificates, alwalys I keep thinkin so I can exist and show the value of my education bt I failed, sasa nabadilisha approach na approach nayoichukua ni Lii nimeita only minds an' hard work approach ambayo inaniambia fanya kaz yoyote halali,inaniambia aibu ni adui,inaniambia usilalamike jichang anye mtaani vua vyeti Sahau ulisoma,inaniambia mtaj Sio kikwazo cha maisha nisigope nijiongeze. Mwisho ndugu zangu mlioko vyuoni this time msiijisahau please save as you can for your future. NlKO TAYARI FANYA KAZ YOYOTE HALAL
Mkuu hicho ni kilio cha wengi aisee , wakat nipo chuo vihela vilinizubaisha hadi nikanunua kiusafir cha piki piki kwa vile nimesoma health niliamin nikitoka tu chuo nitapata ajira aisee kumbe zilikua ndoto tu

Ninge save na kufanya ki biashara ningekua mbali kwel majuta ni mjukuu
Vijana wenzangu mlioko chuon juu kugunu sna wachen kubadilisha modo na t-shirt za born to shine hifadhin ivo vihela mufanye la maana la sivo mutajuta
 
Nimeamua Kustaafu Kutumia vyetu Vyangu na kuhama kwa muda timu ya kutafuta ajira maana dah mabosi wa timu hawataki kununua wachezaji wapya wamewakumbatia wazee hata kusaidia timu hawawezi, makocha nao wakiambiwa watafute wachezaji Wanawachukua wajomba Zao, watoto Lao hata pasi hawawez Kupiga,wengine hata mpira hawajawah kucheza.Niliwaona wanapoteza muda wale jamaa Zangu pale mabibo hostel waliokuwa wanasoma huku wakiwa na mabanda ya chips ingawa nilijaribu kwenda Karikoo kuchukua earphone za philips na Sony Kuuza faida iliisha kwa matumiz yasiyo ya maana NAJUTA Kuto Save wakat niko chuo, nataman nirud Sasa chuo nipewe tena boom ningekuwa nakula RB-rice an' beans na maji ya kudownload niki focus mbele life after university, niko mtaani System imebadilika inahitaji innovative and creative minds more than certificates, alwalys I keep thinkin so I can exist and show the value of my education bt I failed, sasa nabadilisha approach na approach nayoichukua ni Lii nimeita only minds an' hard work approach ambayo inaniambia fanya kaz yoyote halali,inaniambia aibu ni adui,inaniambia usilalamike jichang anye mtaani vua vyeti Sahau ulisoma,inaniambia mtaj Sio kikwazo cha maisha nisigope nijiongeze. Mwisho ndugu zangu mlioko vyuoni this time msiijisahau please save as you can for your future. NlKO TAYARI FANYA KAZ YOYOTE HALAL
Mkuu umewaza kama mm, nishasota karibu mwaka wa pili sasa, from baed udsm 2016..mwalimu pure bt mpk sasa hvi serikali imenifumbia jicho hainioni,
 
Ni wazo zuri,maisha sio vyeti,weka vyeti pembeni ondoa aibu,mtaji sio Pesa unaweza uza hata hio smartphone uliyonayo ni mtaji tosha.Anza kidogo kidogo huku ukinuia kikubwa usikate tamaa
 
Nimepiga sana shato pori kusave money , mpk sasa kabalance kamebaki kama kilo tano, hii naweza kufanyia biashara gani wakuu.
 
Ivi magraduate huwa hawakosei? naona ukikosea kidogo tu watu ooooh unakuwa kama si graduate, perfect graduate ni nani?
 
Nimeamua Kustaafu Kutumia vyetu Vyangu na kuhama kwa muda timu ya kutafuta ajira maana dah mabosi wa timu hawataki kununua wachezaji wapya wamewakumbatia wazee hata kusaidia timu hawawezi, makocha nao wakiambiwa watafute wachezaji Wanawachukua wajomba Zao, watoto Lao hata pasi hawawez Kupiga,wengine hata mpira hawajawah kucheza.Niliwaona wanapoteza muda wale jamaa Zangu pale mabibo hostel waliokuwa wanasoma huku wakiwa na mabanda ya chips ingawa nilijaribu kwenda Karikoo kuchukua earphone za philips na Sony Kuuza faida iliisha kwa matumiz yasiyo ya maana NAJUTA Kuto Save wakat niko chuo, nataman nirud Sasa chuo nipewe tena boom ningekuwa nakula RB-rice an' beans na maji ya kudownload niki focus mbele life after university, niko mtaani System imebadilika inahitaji innovative and creative minds more than certificates, alwalys I keep thinkin so I can exist and show the value of my education bt I failed, sasa nabadilisha approach na approach nayoichukua ni Lii nimeita only minds an' hard work approach ambayo inaniambia fanya kaz yoyote halali,inaniambia aibu ni adui,inaniambia usilalamike jichang anye mtaani vua vyeti Sahau ulisoma,inaniambia mtaj Sio kikwazo cha maisha nisigope nijiongeze. Mwisho ndugu zangu mlioko vyuoni this time msiijisahau please save as you can for your future. NlKO TAYARI FANYA KAZ YOYOTE HALAL
Hujachelewa mkuu, karibu kitaaa.
 
Back
Top Bottom