Vyanzo vya vilio

Judgement

JF-Expert Member
Nov 13, 2011
10,327
4,780
Dear Membars, nimefanya uchunguzi wangu binafsi, kufatilia visababishi ambavyo vikawapata baadhi yetu (binadamu) hutufanya tulie na kutokwa machozi.
* Umepata msiba * Umeumia, ameumia mpendwa wako.
* Umefeli mtihani, usaili , maisha, hasara kibiashara au mali.
* Umepata kesi, kufungwa jela, kutukanwa, kuibiwa, kusingiziwa ya uongo.
* Kusalitiwa penzi , nyanyaso kijinsia, kupigwa kibuti.
Haya na mengine ambayo sikubahatika kuyaainisha huweza kutusababishia vilio.
Sasa kuna kilio/vilio ambavyo takriban kila uchao tunalia, tena wahusika wa kilio hiki si watoto ni watu wazima.
Kilio ambacho ndanimwe hakupatikani hasara !
Sanasana hupatikana faida baada ya miezi 9 tangu ulie/mlie !
Kwa nini kilio hiki tusikibadili kikawa kicheko ?
Nawasilisha.
 
Iwe inapofika mtu mzima unapoitafuta UHURU au KIBO PEAK au unashuka SEKENKE badala ya CRYIN' iwe TUNACHEKA.
Iweje tulie kwenye RAHA/STAREHE ? kuna mahusiano ?
 
Iwe inapofika mtu mzima unapoitafuta UHURU au KIBO PEAK au unashuka SEKENKE badala ya CRYIN' iwe TUNACHEKA.
Iweje tulie kwenye RAHA/STAREHE ? kuna mahusiano ?

Ndio naingia kulala na mai waifu ngoja ni mchape nao mpaka asubuhi akilia nitamuuliza halafu kesho nitaleta feedback.
POPOBAWA.
 
Ndio naingia kulala na mai waifu ngoja ni mchape nao mpaka asubuhi akilia nitamuuliza halafu kesho nitaleta feedback.
POPOBAWA.

Popo ! SHKAMOO alafu ukishaitikia ingia kwenye fani.
 
Marahabaaaaaa. hivi shikamoo si inamaanisha upo chini ya miguu yangu?!
POPOBAWA.

Sasa mie kua chini miguu yako unaogopa nini Popo ? Ama kweli we Popobawa real mara tu ! Chale cheja !
 
:lol::lol::lol: aaaii mmmmhh aaaahh mmmmmhh eeeeeeh :lol::lol::lol::lol::lol::lol::lol:
 
Aingie kwenye fani tena!

Ndiyo maanake ! Kwani hujui popabawa taaluma yake nini? Basi kwa taarifa hua usiku anavinjari jukwaa hadi jukwaa akiwa na msuli chukuchuku (kabatiless) na sijui jana usiku ilikuaje maana nilimuacha hayuko mbali na "Bikira wa Kiume" !
Inshort wewe kama wataka kuijua fani yake ngoja niPM akutembelee usiku wa leo, maanake mida ya mchana Popo huwa hawaoni.
 
Ukienda kula ice ream cone kwa bakhres ulie na uki enda kata gogo ucheke. Ha Ha Haaaaaa !!!!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom