Vyanzo vya nishati vinatumika ipasavyo???

DMussa

JF-Expert Member
Sep 24, 2007
1,310
296
Kwa utajiri huu wa vyanzo vya nishati ni kwa nini Tanesco bado wanatupatia shida??? Ni nini kifanyike ili tuzitumia vizuri hizi nishati kwa manufaa ya nchi???

Ukiisoma hii publication unaweza kuona jinsi ambavyo tunaweza kuweka vitu kwenye makaratasi zaidi kuliko kuvifanya viwe actual..... 5% of 4.5 GigaWatts in Hydro????? na tunawaita Richmond kuja kuweka Emergency Power????

Large potential resources for energy in Tanzania
New investment opportunities as Tanzania

Plans for expansion
The Government of the United Republic of Tanzania and the Tanzania Electric Supply Company Limited (TANESCO) are happy to invite international investors to participate in expanding power sector capacity in Tanzania.

Tanzania has large reserves of indigenous energy resources including natural gas, coal and water to meet the demands of the power sector for many years. There is also undetermined potential of geothermal energy.

Hydro electric resources
Energy from water (hydro) is a very important source of electric power in Tanzania currently accounting for about 67% of total available installed capacity. Tanzania’s total hydroelectric energy potential is in excess of 4.7GW of installed capacity or about 3.2GW of firm capacity. Of this potential installed capacity only about 5% has actually been developed.

Coal
The coal reserves are found in Mchuchuma in south western Tanzania near the northern tip of Lake Nyasa. Recent studies indicate that Mchuchuma coal deposits can provide fuel for 400MW generation capacity for up to 35-40 years. There is an existing small coal mine at Songwe-Kiwira which started production in 1988 with initial production planned at 150,000 tonnes and reaching a maximum of 300,000 tonnes at maturity of the project.

Natural Gas
The proven natural gas are located in the SongoSongo island offshore on the Indian Ocean. The gas reserves are estimated to be 726 billion cubic feet. There is also a significant gas field at Mnazi bay near Mtwara.

Ocelot Trans Canada Pipelines (OTC) a consortium formed by two Canadian companies are already involved in a project to build a gas pipeline to deliver gas to Dar es Salaam for use in power generation.

Interconnection with neighbours
Potential for interconnection do exist between Tanzania, Zambia, Kenya and Uganda. Feasibility studies between Tanzania, Kenya and Zambia have been completed and show the resource options. Over the longer term, the Kenya system is seen as a likely export market whereas Uganda and Zambia would likely sources of imports, mainly because of low cost hydro options available in these countries.

There are projects which are at present under various stages of study. These include:

Zambia – Tanzania 330kV transmission line project
The project involves the construction of a 330kV transmission line from Pensulo through Kasama in Zambia to Mbeya in Tanzania, a distance of about 670km. The scope includes the extension to the existing substations in the mentioned load centres.

The transmission line design will be of guyed vee and the substations at Pensulo Kasama and Mbeya Pensulo will be extended to accommodate the new works.

A feasibility study report by experts from ZESCO, and ESKOM of South Africa, recommended the construction of a 330kV interconnection between Zambia and Tanzania capable of transferring up to 200MW of electric power from Zambia to Tanzania.

Already Environmental Impact Assessment (EIA) Studies have been carried out covering the entire line route and necessary mitigation measures have been identified.

The study has estimated the project cost to be about US$150 million.

Mchuchuma colliery and thermal power station project
Given that the present TANESCO generation source is mainly hydro based, diversification into thermal generation additions are preferred in order to enhance reliability to hydro based generation through diversification into other energy sources.

The feasibility study have established there are sufficient coal reserves at Mchuchuma to provide fuel to 400MW generation capacity for 35-50 years.

The plant is recommended to be based on pulverised coal technology which is a proven technology and widely used in other African countries.

The Mchuchuma coal fired Thermal Power Plant is proposed to be developed in the private sector and the National Development Corporation (NDC) is co-ordinating the project.

A successful implementation of the project requires development of the physical infrastructure.

Stiglers Gorge hydro power project
The project is located at narrow gorge on the Rufiji river, some 230 km upstream from the Indian Ocean and it is about 374km away from Dar Es Salaam using the present existing road. The distance will be 165km from Chalinze after construction.

Two power stations will be constructed. Power station A of four units with total capacity of 400MW (4 x 100MW) will be located underground in the northern abutment. Power station B of another four units with a final capability of 800MW (4 x 200MW) will be constructed at the toe of the dam. A third station of three units with a capacity of 900 MW (3 x 300MW) could be located in the southern abutment to capture secondary energy. The estimated capital cost was about US$1,200 million at 1985 prices.

This project was studied in 1978-80 by M/s Norplan / Hafslund who were commissioned by Rufiji Basin Development Authority (RUBADA).

http://www.sovereign-publications.com/tanzania.htm
 
Nasikia huu mradi ulikataliwa kutokana na sababu za mazingira. Athari zake kwenye eco-system ya mto rufiji ni kubwa mno. Hii ni pamoja nadam kuzuia virutubuisho vyote vinavyokuja kutoka milimani, kuflood sehemu kubwa ya Ruaha national Park na ukweli kwamba haitachukua muda litajaa tope! Bado kweli tunataka kujiingiza huko? Kweli sikio la kufa........
 
Ni kweli tuna kila kitu cha kutufanya tuwe na umeme wa kutosha lakini Law & policies zetu zinaipa monopoly Tanesco,kwa hiyo ni vigumu sana(if not impossible) for serious big money investors kuja kuweka $$ zake kwenye hiyo sector...sheria inasema only tanesco ndio wanaweza kuzalisha,kusambaza na kuuza na wengine ni kuzalisha tuu na lazima umuuzie Tanesco,na juzi nasikia bill imepelekwa ijadiliwe na wabunge wamekataa hata kuiangalia na JF wanawasifu utafikiri wamefanya kitu cha maana sana...tusitegemee any changes mpaka sheria zilizopo zibadilike na watu wasiogope maana umeme sio gold na utauzwa hapo hapo nchini....usisahau wind power maana ile indian ocean inaweza kutupa wind 24/7,kweli hatuko serious na umaskini mwingine ni wa kujitakia na kukosa akili tuu,angalia how much money zilizoenda on flames to this bogus & corrupt project like IPTL & Richmond,inasikitisha sana!
 
Mkuu na hata wakija mikataba itakayosainiwa hapo utakuta ni ya kuhakikisha wanainyonya nchi yetu kwa uwezo wao wote!!!
Mimi nafikiri hata hawa Tanesco wanatakiwa wapewe ultimatum ya kwamba kufikia 2010 tatizo la umeme liwe limeisha.
Sasa hivi % kubwa sana huko Vijijini hata hawajajua ni lini umeme utawafikia...Why is Tanesco operating like it's not a business entity?? Wafanye biashara na wakuze nchi sio kwa kutuongezea bei za Kwh wakati hatuoni mabadiliko yoyote.

Wizara ya Nishati na madini nao pia wanatakiwa wafanye kazi yao kwa kupitia na kuja na mapendekezo ya haraka jinsi ya kutatua matatizo.
 
Back
Top Bottom