Vyanzo vya mapato vya Makonda

Acha umbwiga wewe, unadhani Mkuu wa Mkoa anaweza kulipwa hata milioni kumi tu kwa Mwezi? Poor mind
Mbwiga unaelewa maana ya marupurupu?

Muulize KUB ........Mbowe akusimulie acha kukariri!
 
Hadi mimi nimeshangaa huyu jamaa ni mbinafsi na yuko protected ufisadi wa kidola)
Ipo siku..
 
Anko Mako ana kipaji cha ziada cha Ku locate vyanzo vya mapato..

japo vyote ni siri sirini
 
Dotto James mwipwa wa Magufuli anafungu lake Rasmi ukisikia trillioni 2.4 zimeenda vote 20 ndio hizo anazochezea bashite
 
Huyu ni mkuu wa mkoa, mtumishi wa umma na kijana ambaye hana historia ya kuishi nje ya ajira za kisiasa.

Anazo ahadi nyingi zinazohitaji fedha na ni ahadi binafsi....je fedha hizi anazotoa wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Acheni ujinga bana,hizo hela ni harambee kutoka kwa wafadhili mbalimbali waliomo kwenye mkoa wake,yeye kama mkuu wa mikoa ana nafasi kubwa sana ya kwenda kuomba wafadhili wamfadhili kwa ajili ya maendeleo na kuna makampuni ambayo huchangia kama shukrani kwa wananchi CSR.Mwishowe mtauliza hata nguo za ndani anazovaa Makonda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…