vyandarua ni miradi ya serikali ya marekani na nchi yetu, kwao mbona washalimaliza hili tatizo, sisi hawatujali, ngoja huyu Zitto augue kwanza alafu waone kuwa marelia haikubaliki , mbu ni uchafu kwani anaishi kwenye machaka na sehemu zenye taka zenye maji maji wadudu hawa ni raisi kuwaondoa ikiwa serikali iko makini, mjooni niwape dawa ya MSHANA hamtapata tena Maralia miaka 5. inazidi ya INDIA nilishangaa kuona kampuni moja kuzunguka na gari dogo na mashie eti wananyuzia, kazi ya kunyunyizia dawa ya kuua mbu iipashwa serikali ikodi ndege kutokasouth au kwingineko watu watangaziwe siku ya kunyunyizia dawa waanze na mito kama janguani, wapulizie kwenye Mabasi, mgari madogo na machaka makubwa kama utaona mbu tena