Vyama ya Upinzani Afrika vs chadema, chadema kuna tatizo!

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,786
Ofisi za Chama kikuu cha Upinzania Tanzania chadema , ukilinganisha na vyama vingine vya Upinzania Afrika!



vs

MDC -Zim




Upinzani Kenya




Ofisi Upinzani Malawi!

 
Usijali, Nitawajengea Chadema makao Makuu yatakayofanana na AICC pale Geneva of Africa! CCM yenyewe zaidi ya kujengewa na Wachina hebu nioneshe jengo walilojenga kwa fedha zao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…