VYAMA WAFANYAKAZI WAUMA VIWE NA MAJIBU HAYA.

NJUGHU

JF-Expert Member
Aug 16, 2013
380
500
Vyama vya wafanyakazi sekta ya umma vinawajibu wakuwajibu wafanyakazi wake kuhusu hatima ya kusitushwa kwa upandaji vyeo,malipo stahiki ya watumushi na zoezi la uhamisho kwa walio omba baada ya zoezi nyeti la uhakiki.
Vyama hivi vinajipatia mapato makubwa toka makato ya uchangiaji toka kwa wanachama wake ajabu mpaka sasa wanachama wake hawajui nini hatima ya mazoezi yaliyositishwa.
Ni muda muafaka wakutatua maswala muhimu kama haya.
Mpaka sasa vimekaa kimya na kuwaacha wanachama kutojua nini na lini swala gumu kama hili litapatiwa ufumbuzi hasa majibu sahihi ya utata huu.
Viongozi wa juu wanatakiwa kutoa ufafanuzi na kutafuta majibu toka wizara husika na kueleza kwa utaratibu maalumu kuwapa taarifa wanachama.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom