R Retired JF-Expert Member Joined Jul 22, 2016 Posts 51,912 Reaction score 101,406 Aug 27, 2025 #1 Nasikia wamepisha vyama 17 kuwania urais. Hakuna chaama chenye ofisi kati ya hivyo. Ushenzi mtupu!
Kinoamiguu JF-Expert Member Joined Nov 29, 2018 Posts 17,139 Reaction score 24,561 Aug 27, 2025 #2 Wale waliokuwa wanahangaika na ofisi za UFIPA leo wapo wapi??
Mama Ametufikia JF-Expert Member Joined Jul 17, 2024 Posts 495 Reaction score 1,311 Aug 27, 2025 #3 Kwahiyo ofisi inasaidiaje ?
Kinoamiguu JF-Expert Member Joined Nov 29, 2018 Posts 17,139 Reaction score 24,561 Aug 27, 2025 #4 Mama Ametufikia said: Kwahiyo ofisi inasaidiaje ? Click to expand... Ungewauliza wale kina singasinga wenye Maputo matumboni waliochangia pesa ,a kampeni pale mlimani City. Baadhi ya prsa zitaenda wapi na kwann?
Mama Ametufikia said: Kwahiyo ofisi inasaidiaje ? Click to expand... Ungewauliza wale kina singasinga wenye Maputo matumboni waliochangia pesa ,a kampeni pale mlimani City. Baadhi ya prsa zitaenda wapi na kwann?
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 141,466 Reaction score 283,837 Aug 27, 2025 #5 Mama Ametufikia said: Kwahiyo ofisi inasaidiaje ? Click to expand... Swali lako ni la kijinga
J Jorojik JF-Expert Member Joined Dec 21, 2012 Posts 6,842 Reaction score 8,295 Aug 27, 2025 #6 Mama Ametufikia said: Kwahiyo ofisi inasaidiaje ? Click to expand... Dola inaoperaye kupitia official address. Mtu au Taasisi au Kampuni isiyo na anwani ni tapeli
Mama Ametufikia said: Kwahiyo ofisi inasaidiaje ? Click to expand... Dola inaoperaye kupitia official address. Mtu au Taasisi au Kampuni isiyo na anwani ni tapeli
Kinoamiguu JF-Expert Member Joined Nov 29, 2018 Posts 17,139 Reaction score 24,561 Aug 27, 2025 #7 Erythrocyte said: Swali lako ni la kijinga Click to expand... Kama yeye mwenyewe. Kwakuwa amefungiwa mahala na bando kapewa free?? Hawa ndiyo wanaoshawishi watu wakapige kura huko ccm? Wakiambiwa kuna cables zimeunganishwa wanakataa
Erythrocyte said: Swali lako ni la kijinga Click to expand... Kama yeye mwenyewe. Kwakuwa amefungiwa mahala na bando kapewa free?? Hawa ndiyo wanaoshawishi watu wakapige kura huko ccm? Wakiambiwa kuna cables zimeunganishwa wanakataa
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 44,830 Reaction score 132,572 Aug 27, 2025 #8 CCM wanapenda sana siasa za kitoto na za maigizo.