Vyama vya wafanyakazi mko wapi?

Viongozi wa vyama vya wafanyakazi wanacho kipigania ni kulinda vyeo vyao katika hivyo vyama.
Vyama vya wafanyakazi ni kama kampuni iliyowaajiri na kuwapa vipato vikubwa.
Ni ajabu kuona wafanyakazi wana mwaka wa tatu bila ya kuongezwa mishahara na wao wapo kimya.
Je majukumu yao ninini ?
Kuna haja ya kuwashitaki viongozi wa vyama vya wafanyakazi kwa kuto kuwajibika katika majukumu yao.
Kuna haja ya kuwa na vyama vya upinzani vya wafanyakazi ili kuleta ushindani kiutendaji kazi.
 
Wafanyakazi feki au?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…