Hahaha,unamaanisha ni mapamboHawana la kufanya father house ni mtabe.
Wapo kama marembo tu.
Mpaka muda huu kuna threads zaidi ya kumi zilizoanzishwa leo na wafanyakazi wa serikali,wanalalamika sana,inasemekana mambo yao ya mishahara haiko sawa,mana waliahidiwa kuongezewa mapema mwezi huu wa saba.
Hebu jetokezeni simameni mbele ya wafanyakazi enyi viongozi wa vyama vya wafanyakazi.