kitama yetu
Member
- Mar 4, 2015
- 82
- 28
Naandika haya kwa masikitiko makubwa kwa maana wafanyakazi wanakatwa asilimia fulani toka kwenye mishahara yao kwa ajili ya kuendesha vyama hivi.cha kushangaza zaidi ni kuwa tangu awamu hii ya 5 iingie madarakani wafanyakazi wamekuwa wakinyanyaswa na wanasiasa hasa maRCs na DCs.
Pamoja na hayo bado stahiki za wafanyakazi zimekuwa zikibinywa katika utawala huu mfano kupanda madaraja, annual increment nk. Kwa haya yote sijasikia vyama hivi angalau wakitoa tamko, wamekaa kimya ila kila mwisho wa mwezi wanakula hela za wavujajasho wa nchi hii, viongozi wa vyama hivi bila shaka mmepoteza credibility ya kuendelea kuongoza vyama hivi au kama vipi acheni basi kukata fedha kwenye mishahara ya wavujajasho wa nchi hii huku mkiwa hawatetei