GE2025 Vyama vya siasa vyahakikishiwa uwanja sawa Uchaguzi Mkuu 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
2,437
Reaction score
5,235
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imewahakikishia viongozi wa vyama vya siasa kuwa kutakuwa na uwanja sawa kwa vyama vyote wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu wa mwaka huu kwa kuhakikisha kila chama kinafanya mikutano yake kwa mujibu wa ratiba.

Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Rufani Jacobs Mwambegele akizungumza wakati wa ufunguzi wa mkutano wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi na Vyama vya Siasa kuhusu uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025. Kikao hicho cha siku moja kilifanyika leo Julai 27, 2025 jijini Dodoma na kushirikisha vyama vyote vyenye usajili kamili.

Mwambegele akizungumza wakati wa ufunguzi wa mkutano wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi na Vyama vya Siasa kuhusu uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025. Kikao hicho cha siku moja kilifanyika leo Julai 27, 2025 jijini Dodoma na kushirikisha vyama vyote vyenye usajili kamili.

Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Rufani, Jacobs Mwambegele ameyasema hayo leo tarehe 27 Julai, 2025 wakati akifungua mkutano wa Tume na Viongozi wa Vyama vya Siasa jijini Dodoma.

"Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, inawahakikishia kuwepo kwa uwanja sawa kwa vyama vyote wakati wa kampeni kwa kuhakikisha kila chama kitafanya mikutano yake kwa mujibu wa ratiba itakayokuwa imepitishwa na Kamati ya Ratiba Ngazi ya Taifa inayoratibu ratiba ya kampeni ya wagombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais, kamati ya jimbo inayoratibu ratiba ya wagombea wa ubunge na kamati ya kata inayoratibu ratiba ya wagombea wa udiwani,” amesema Jaji Mwambegele

Mbona ELVIS wa mahando st alitayarisha maroli tangu mwezi may
 
Yeye ni nani aseme kutakua na uwanja SAWA,je mwenyekiti wa CCM akimuonya na kumfuta kazi kwa kuweka uwanja sawa?
 
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imewahakikishia viongozi wa vyama vya siasa kuwa kutakuwa na uwanja sawa kwa vyama vyote wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu wa mwaka huu kwa kuhakikisha kila chama kinafanya mikutano yake kwa mujibu wa ratiba.

Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Rufani Jacobs Mwambegele akizungumza wakati wa ufunguzi wa mkutano wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi na Vyama vya Siasa kuhusu uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025. Kikao hicho cha siku moja kilifanyika leo Julai 27, 2025 jijini Dodoma na kushirikisha vyama vyote vyenye usajili kamili.
Na wamekubali?🫸🫷😎
 
Tume matako kweli huo uwanja sawa mbona hatujauona kuanzia sasa, wao wanahangaika na CHADEMA tu mbona vyama vingine vimekiuka katiba tume inakenua tu!
 
Sema CCM na matawi yake wameahidiana kutekeleza MoU yao.
 
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imewahakikishia viongozi wa vyama vya siasa kuwa kutakuwa na uwanja sawa kwa vyama vyote wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu wa mwaka huu kwa kuhakikisha kila chama kinafanya mikutano yake kwa mujibu wa ratiba.

Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Rufani Jacobs Mwambegele akizungumza wakati wa ufunguzi wa mkutano wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi na Vyama vya Siasa kuhusu uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025. Kikao hicho cha siku moja kilifanyika leo Julai 27, 2025 jijini Dodoma na kushirikisha vyama vyote vyenye usajili kamili.

Mwambegele akizungumza wakati wa ufunguzi wa mkutano wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi na Vyama vya Siasa kuhusu uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025. Kikao hicho cha siku moja kilifanyika leo Julai 27, 2025 jijini Dodoma na kushirikisha vyama vyote vyenye usajili kamili.

Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Rufani, Jacobs Mwambegele ameyasema hayo leo tarehe 27 Julai, 2025 wakati akifungua mkutano wa Tume na Viongozi wa Vyama vya Siasa jijini Dodoma.

"Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, inawahakikishia kuwepo kwa uwanja sawa kwa vyama vyote wakati wa kampeni kwa kuhakikisha kila chama kitafanya mikutano yake kwa mujibu wa ratiba itakayokuwa imepitishwa na Kamati ya Ratiba Ngazi ya Taifa inayoratibu ratiba ya kampeni ya wagombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais, kamati ya jimbo inayoratibu ratiba ya wagombea wa ubunge na kamati ya kata inayoratibu ratiba ya wagombea wa udiwani,” amesema Jaji Mwambegele.
HAKUNA UCHAGUZI MWAKA HUU
 
Ni lini hawakuwahi kuhakikishiwa uwanja sawa?

No reform No Election
 
Yaani tume haramu inapata wapi hiyo moral audacity??
 
Back
Top Bottom