GeniusBrain
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 4,315
- 309
Kampuni ya Phils International imefanya presentation kwenye mkutano wa halmashauri kuu ya Taifa ya CCM kuhusiana kujenga ukumbi mpya (mkubwa na wa kisasa) wa mikutano ya ccm
My take : Wakati CCM inayafanya haya vyama vingine mko wapi angalau na nyie kuanza kujenga ofisi zenu zionekane kwenye mandhari ya kisasa yaendanayo na hadhi za vyama vyenu ?.

CCM watajenga kwa kutumia fedha zetu walipa kodi si fedha za chama. Kwa hiyo usifananishwe uwezo wa kifedha wa vyama vingine ambavyo vinajiendesha kwa kutumia michango ya wanachamam wao na uwezo wa ccm ambao unatokana na wizi wa fedha za wananchi.
Duh! wewe uliyeleta hii post umenisikitisha sana, anyway let me leave your post before sijasunda something hapa. AMAUTI
Waache wajenge tu, siku wakiondoka madarakani rasilimali zetu zote zitarudi kwetu. Just a matter of time.
Hapo upo wapi mkuu?
Wenzenu wanapigania namna ya kumwondoa mtanzania kutoka kwenye lindi la umasikini, ccm wanajenga majengo ya kifahari.
Na wewe bila aibu yoyote unatoka hadharani kukenua kenua meno. Wewe unadhani wametoa wapi hiyo hela?
Mungu msamehe huyu mja wako, kwani hajui anenalo wala atendalo.
We mjinga, matatizo ya Tanzania hayatatatuliwa na kujenga ofisi za vyama. Una jina kubwa lakini mawazo yako uharo mtupu.Kampuni ya Phils International imefanya presentation kwenye mkutano wa halmashauri kuu ya Taifa ya CCM kuhusiana kujenga ukumbi mpya (mkubwa na wa kisasa) wa mikutano ya ccm
My take : Wakati CCM inayafanya haya vyama vingine mko wapi angalau na nyie kuanza kujenga ofisi zenu zionekane kwenye mandhari ya kisasa yaendanayo na hadhi za vyama vyenu ?.
We kiwavi ndie uliyeleta uharo wako hapa, unapopewa majibu unaleta uharo mwingine we upoje lakini? Si ujifie tu kupunguza matatizo!Aisee ww wafikiri kwa kutumia masaburi kweli. Nani alikuambia umaskini unaondolewa kwa kuwatembeza watu barabarani badala yakuwaachia wakafanye shughuli zao za maendeleo?. Mnaongeza umaskini nyie na kumfanya mtanzania aendelee kuwa maskini.