Kama umemaliza kahawa toka hapo kijiweni, unapoelekea utaanza kuchambua matukio ya Baba na Mama yako.Umeisahau Chadema, Mbowe alikamatwa enzi ya jiwe tu tangu vyama vingi vianze, na baadae SSH, Mtei hajawahi kukamatwa na Polisi, jiulize kwa nini. Baada ya kufunua veil kwa boss, Mbowe akaachiwa, na akafikia Ikulu. Lissu naye ni preoject
Hata mabosi hawawajuagi watu wanaokaa chini ya kava la kitabu, boss anakuwa anaona mapicha picha tu. Na wanaomuonyesha mapichapicha ni vijana wake, na yeye baadhi hawajui. Hata mzee mwinyi alionyeshwa mapicha picha na mrema na marando,mpaka mrema akaamua kujisema mwenyewe kazi yake, wakati ambao hana madhara.
Imagine,kwa muda wote kaandamanisha wangapi na wangapi wamekula risasi na rungu zenye uzito wa uzani wa juu.
Si unajua jamaa wana njia nyingi za kugikisha ujumbe, hata juzi Lissu alivyojitapa kuwajua wachungaji wanaoagiza sukari, ni wale wale wa kijitonyama wanamtumia kijna wao kutoa maneno. Yaani Lissu ni spika tu ya kutolea sauti
eti hiki ndio kinajipambanua kwamba ni chama cha siasa kikubwa kinacho panga kushinda uchaguziNi hivi hapa
ADA TADEA,
CCK
, NLD,
Demokrasia Makini,
NCCR- MAGEUZI,
TLP,
UPDP,
SAU
, UMD,
NRA
na Chama cha DP.
Serikali hii hii ambayo iliamua kumzushia kesi mbaya ya ugaidi yenye tuhuma za kutaka kuziba barabara kwa kukata miti kuanzia Dar mpaka Mbeya enzi za Jiwe mwanasisiyemu mwenzao alikaa ndani kwa zaidi ya miezi nane!Mbowe ni mtu wa serikali, endeleeni kuzunguka.
CHAMA CHA UPINZANI NI KIMOJA TU na ndio maana Machawa wote midomo juu kwa hicho chamaNi hivi hapa
ADA TADEA,
CCK
, NLD,
Demokrasia Makini,
NCCR- MAGEUZI,
TLP,
UPDP,
SAU
, UMD,
NRA
na Chama cha DP.
Hata hueleweki umeandika utoto gani.Umeisahau Chadema, Mbowe alikamatwa enzi ya jiwe tu tangu vyama vingi vianze, na baadae SSH, Mtei hajawahi kukamatwa na Polisi, jiulize kwa nini. Baada ya kufunua veil kwa boss, Mbowe akaachiwa, na akafikia Ikulu. Lissu naye ni project
Hata mabosi hawawajuagi watu wanaokaa chini ya kava la kitabu, boss anakuwa anaona mapicha picha tu. Na wanaomuonyesha mapichapicha ni vijana wake, na yeye baadhi hawajui. Hata mzee mwinyi alionyeshwa mapicha picha na mrema na marando,mpaka mrema akaamua kujisema mwenyewe kazi yake, wakati ambao hana madhara.
Imagine,kwa muda wote kaandamanisha wangapi na wangapi wamekula risasi na rungu zenye uzito wa uzani wa juu.
Si unajua jamaa wana njia nyingi za kufikisha ujumbe, hata juzi Lissu alivyojitapa kuwajua wachungaji wanaoagiza sukari, ni wale wale wa kijitonyama wanamtumia kijna wao Lissu kutoa maneno. Yaani Lissu ni spika tu ya kutolea sauti
ACT UMEISAHAUNi hivi hapa
ADA TADEA,
CCK
, NLD,
Demokrasia Makini,
NCCR- MAGEUZI,
TLP,
UPDP,
SAU
, UMD,
NRA
na Chama cha DP.
Vifuniko vya asaliWakati wanapinga maandamano walinunuliwa suti mpya, safari hii sijui wamenunuliwa nini.
VIpi kuhusu cUF Yq Lipumbaf?Ni hivi hapa
ADA TADEA,
CCK
, NLD,
Demokrasia Makini,
NCCR- MAGEUZI,
TLP,
UPDP,
SAU
, UMD,
NRA
na Chama cha DP.
WEWE Kama ni mwanamke mumeo ana shoti ya milele kama ndio Mimi mumeo nagomea unyumba MPAKA uondoke kwangu kibwengo WEWE.Umeisahau Chadema, Mbowe alikamatwa enzi ya jiwe tu tangu vyama vingi vianze, na baadae SSH, Mtei hajawahi kukamatwa na Polisi, jiulize kwa nini. Baada ya kufunua veil kwa boss, Mbowe akaachiwa, na akafikia Ikulu. Lissu naye ni project
Hata mabosi hawawajuagi watu wanaokaa chini ya kava la kitabu, boss anakuwa anaona mapicha picha tu. Na wanaomuonyesha mapichapicha ni vijana wake, na yeye baadhi hawajui. Hata mzee mwinyi alionyeshwa mapicha picha na mrema na marando,mpaka mrema akaamua kujisema mwenyewe kazi yake, wakati ambao hana madhara.
Imagine,kwa muda wote kaandamanisha wangapi na wangapi wamekula risasi na rungu zenye uzito wa uzani wa juu.
Si unajua jamaa wana njia nyingi za kufikisha ujumbe, hata juzi Lissu alivyojitapa kuwajua wachungaji wanaoagiza sukari, ni wale wale wa kijitonyama wanamtumia kijna wao Lissu kutoa maneno. Yaani Lissu ni spika tu ya kutolea sauti
Changa la macho tu hilo, alipoachiwa breki ya kwanza Ikulu..... kazi yake anaifanya vema.Serikali hii hii ambayo iliamua kumzushia kesi mbaya ya ugaidi yenye tuhuma za kutaka kuziba barabara kwa kukata miti kuanzia Dar mpaka Mbeya enzi za Jiwe mwanasisiyemu mwenzao alikaa ndani kwa zaidi ya miezi nane!
Nayo nitaiongezaVIpi kuhusu cUF Yq Lipumbaf?
NaiongezaACT UMEISAHAU
NimeziongezaACT
CUF
Kama kichwa unatumia kubebea kamasi hutaelewaHata hueleweki umeandika utoto gani.
Ya lipumbafu pia usisahauNaiongeza
Mimi mwanaume, ila ulivyoandika hapa, umeandika kama wa kike, sogea, nimeshaupashaWEWE Kama ni mwanamke mumeo ana shoti ya milele kama ndio Mimi mumeo nagomea unyumba MPAKA uondoke kwangu kibwengo WEWE.
Basi kama ni me wewe ni gasho mwanaume hawagi hivi ACHA kutoa inyaMimi mwanaume, ila ulivyoandika hapa, umeandika kama wa kike, sogea, nimeshaupasha
Ya Mrema na Marando upo sahihi kabisa.Umeisahau Chadema, Mbowe alikamatwa enzi ya jiwe tu tangu vyama vingi vianze, na baadae SSH, Mtei hajawahi kukamatwa na Polisi, jiulize kwa nini. Baada ya kufunua veil kwa boss, Mbowe akaachiwa, na akafikia Ikulu. Lissu naye ni project