Kifaranga
Senior Member
- Jan 6, 2011
- 144
- 31
Vyakula vikuu kwa sisi watanzania na wenye hali ya chini ya kawaida tumezoea kula wali, ugali, na ndizi. Kwa utaalam wa kiafya hatutakiwi kula vyakula hivi mara kwa mara kwani vinasababisha kuongeza uzito wa mwili, vinaongeza cholesterol mwilini na hatimaye kuja kusababisha magonjwa ya moyo kama vile high blood pressure.
Sasa swali linakuja ukiondoa vyakula hivyo ni vipi vyakula vingine vikuu ambavyo havina carbohydrates (wanga) kwa wingi na mafuta kwa wingi ambavyo unaweza kutumia kama mbadala wa wali au ugali au ndizi??
Kama havipo unashauriwa uwe unakula (eidha wali au ugali au ndizi) kiasi gani ili kuepusha magonjwa haya??
Naomba msaada tutani pliiiiizzzzz wanajamii
Asante