Vyakula vya aina 9 vya kushusha presha ya kupanda

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,299
33,082
9 Foods That Lower Blood Pressure

Infographic-9-Foods-That-Lower-Blood-Pressure.jpg
 
Attachments

  • 9 Foods That Lower Blood Pressure.jpg
    9 Foods That Lower Blood Pressure.jpg
    11.3 KB · Views: 1,405
Aisee MziziMkavu kuna baadhi ya vyakula hapo vinatibu hadi moyo.Huku kwetu kuna mama mmoja alipona kutanuka kwa moyo kwa kula tu ndizi mbivu kwa wingi.Saa hz ukimuona utashangaa sana amepona kabisaaaaa
Mkuu Pastor Achachanda Ni kweli watu wanazarau dawa za asili akiumwa mtu kidogo, anakimbilia hospitali wakati dawa anaiacha nyumbani pake lakini waache wakimbilie hospitali wasipokwenda Hospitali daktari atakula wapi?
 
Last edited by a moderator:
MziziMkavu mie ninatatizo la Low pressure na mishipa imetanuka; msaada wako tafadhali.
Mkuu Brightman Jr Soma hapo chini Maelezo yake wewe ni dume au jike una umri wa miaka mingapi?
[h=2]ELIMUTIBA: Jinsi ya kujieleza kwa Daktari[/h]
kwa heshima na taadhima napenda kuelezea utaratibu muhimu wa kujieleza kwa daktari ili kurahisisha upatikanaji wa tiba kwa usahihi.

UTANGULIZI
Ni ukweli usiopingika kuwa wengi wetu hatujui ni jinsi gani tujieleze kwa daktari ili tuweze kupata tiba sahii na kwa wakati.pia kuna wakati tunashangazwa na baadhi ya maswali tunayoulizwa na daktari ambayo kuna muda yanaonekana kuwa hayana uhusiano na tatizo linalotusumbua.

Nimeona ni vyema nikaelezea ni taarifa zipi muhimu za kumuelezea daktari ili aweze kufikia hitimisho la kubashiri tatizo lako.

1:Tatizo kuu(main complaint)
hapa unatakiwa kumueleza daktari ni kipi kinakusumbua mpaka ukaamua kumuona.ni muhimu sana kueleza tatizo hili limechukua muda gani.mfano miaka kadhaa,miezi kadhaa,wiki kadhaa au siku kadhaa au limekuwa likijirudia mara kwa mara kwa muda flani.kwa mfano,kukohoa kwa zaidi ya wiki mbili kunaweza kusababishwa na kifua kikuu,kansa au ugonjwa wa moyo,kukohoa kwa wiki moja yaweza kuashiria ni homa ya mapafu ,kukohoa kwa masaa kadhaa yaweza kuwa umepaliwa na chakula ,kukohoa mara kwa mara yaweza kuwa ni pumu n.k

2:Historia ya tatizo
hapa unatakiwa kueleza tatizo lako limeanza vipi,linatokea wakati gani(usiku,mchana au muda wote),linahusiana na nini mfano kukohoa na kutapika au tumbo kuuma na kuharisha,pia eleza kama tatizo lako linaongezeka au kupunguzwa na kitu flani mfano unakohoa sana unapolala chali au moyo unakwenda mbio unaposimama lakini unapata afadhali unapochuchumaa au kiungulia kinapungua unapomeza vidonge vya magnesium n.k
kwa lugha fupi ya kitabibu maelezo ya ugonjwa wako yatafuata acronym ya DOPARA(Duration,Onset,Periodic ity,Associating factors,Relieving or Aggreviating factors).

3:Historia ya afya yako kwa ujumla
hapa unatakiwa kujieleza kwa ujumla kuhusu afya yako toka uzaliwe.je umewahi kutibiwa kwa tatizo hilo hilo?umewahi kulazwa hospitali kwa tatizo lolote,umewahi kufanyiwa upasuaji ?usiogope kutaja hata kama ulitibiwa kwa dawa za kienyeji.pia ni muhimu kueleza dawa au tiba zozote ulizowahi kupata miaka kadhaa nyuma au siku chache kabla ya kufika kwa daktari anayekuona mda huo.mfano tatizo lako kwa sasa ni mimba kutoka na hapo hapo ukawa na historia ya kutoa mimba kadhaa hapo ulipokuwa kigoli yaweza kuelezea kuwa shingo ya uzazi imelegea. N.k
pia ni muhimu kumueleza daktari kuwa kuna baadhi ya dawa zinakuletea mzio(allergy)

4:Historia ya kifamilia
kuna baadhi ya magonjwa yanasababishwa na lifestyle zetu na pia kuna baadhi ya magonjwa ni ya kurithi hivyo ni muhimu kueleza masuala ya kifamilia kwa ujumla.
Mfano babu,baba,mama au bibi walikuwa na tatizo flani kuna uwezekano na wewe ukawa nalo.
Mtoto anaweza kuwa na tatizo la utapiamlo kis mama ni mfanyakazi wa TBC na hivyo hapati muda wa kumnyonyesha au mume ni dereva wa magari ya mizigo ya kwenda zambia na hivyo kamuambukiza mke wake ukimwi.n.k

haya ni baadhi ya maelezo muhimu yanayotakiwa kutolewa kwa daktari ili kufanikisha ugunduzi wa ugonjwa wa mteja
aliyefika kupata huduma.yanaweza kubadilika kidogo kulingana na mazingira ya mgonjwa au tatizo lakini huu ndio msingi wa kujieleza kwa daktari.

Baada ya kutoa maelezo haya daktari anatakiwa kukufanyia uchunguzi wa mwili(physical examnation) ili aweze kylinganisha na maelezo yako na baada ya hapo atakuandikia vipimo(investigations) ili kupata ugonjwa halisi unaokusumbua.Chanzo.
https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/382399-elimutiba-jinsi-ya-kujieleza-kwa-daktari.html
 
Last edited by a moderator:
MziziMkavu bana jina langu ni la kidume halisi na lina miaka 35+...!
Mkuu Brightman Jr ingawa hujaniambia maradhi yako yana muda gani?na nimekuwekea maswali yangu 4 hujanijibu hata moja ili nipate kujuwa historia ya maradhi yako huenda umerithi kwa wazazi wako au mababu zako? unataka niwe ninakuuliza swali moja juu ya swali jingine? hujaniambia umetumia Dawa zipi za Hospitalini?Nina maswali mengi ya kukuliza unavuta sigara?unakunywa pombe? unatumia madawa ya kulevya kwa mfano bangi,unga? umeowa?
 
MziziMkavu mie ninatatizo la Low pressure na mishipa imetanuka; msaada wako tafadhali.

Herbal Remedies for Hypotension (Low Blood Pressure)

Since time immemorial, various herbal natural remedies have been in practice in curing common health ailments such as low blood pressure. Low blood pressure (Hypotension) is the fall in blood pressure below normal especially, in the arteries of the systemic circulation.

The main causes can be anemia, pregnancy, dehydration, malnutrition, emotional instability & chaotic stressful lifestyle. The major symptoms of hypotension are lethargy, weakness, fatigue and dizziness. In its severe form, hypotension may also cause neurological and endocrine disorders.

In this post, let’s learn about some beneficial natural remedies to treat low blood pressure without any side effects on the body system-

  • Drinking a glass of sugarcane juice with ½ tsp lemon juice and salt is quite useful in treating low blood pressure.
  • Having a glass of fresh wheat grass juice daily is wonderful in boosting up energy levels of patients suffering from the ailment.
  • Having a cup of beetroot juice twice daily is said to be one of the best remedies for treating low BP.
  • Boil about 25 g of aloe vera pulp in a glass of milk till it thickens. Add sugar to taste and take 2 tsp of the mixture twice daily. Consuming aloe gel with a pinch of turmeric is also effective in controlling low BP.
  • Boil dates in milk & add honey or sugar to taste. Take it warm twice daily.
  • Soak 5-6 almonds overnight. Grind them to a smooth paste and boil in a glass of milk. Drink warm.
  • Drinking a glass of buttermilk after meals with salt & mint leaves is effective in treating hypotension.
  • Extract Basil leaves juice and have it with a tsp of honey early in the morning. This is another natural treatment for hypotesnion.
  • Pound about a tsp each of ashwagandha and shatavari and boil in half cup each of water and milk to prepare a decoction. Take this decoction with honey twice daily.
  • Having a glass of fresh bael fruit juice with added sugar is beneficial for those suffering from the ailment.

A person suffering from low BP should consume diet rich in B vitamins (especially B12), vitamin C, proteins, calcium and iron. Green leafy vegetables, fresh juicy fruits, milk and eggs should be included the diet. Drink lots of water to keep the body hydrated.

Regular use of honey, turmeric, garlic and asafetida in the diet works as a natural cure for low blood pressure. One should reduce the intake of tea, coffee, alcohol, artificial sweeteners, fried foods and refined sugar in order to keep a check on low blood pressure.

Exercises such as walking, swimming and cycling can be adopted as an essential part of your daily regime. Yogic exercises such as pranayama, shavaasana and sarvangasana can be practiced for maintaining normal blood pressure levels Brightman Jr
 
Last edited by a moderator:
HYPOTENSION : Low Blood Pressure
Ifahamu Presha ya kushuka

Nini presha ya kushuka ?

Hypotension ndio jina alinalotumika kuelezea presha ya kushuka (90/60 mm Hg) ambayo huonekana kutokuwa na sababu iliyoifanya itokee.Kipimo cha presha huwa na namba mbili. Namba moja huwa juu na nyengine huwa chini.

Hypotension (haipo juu)
. Kwa watu wengi presha hii huwatia kizunguzungu na kuwaangusha. Presha hii ikiwa ya muda mrefu husababisha mtu kupata maradhi ya mshtuko.Watu wenye afya nzuri, hasa wakimbiaji, presha ya kushuka huwa ni dalili ya uzima kwao.
Si rahisi kuziona dalili kwa mtu mwenye presha ya kushuka hata kama imedumu kwa muda mrefu. Mara nyingi matatizo ya kiafya huwa ni

dalili ya presha ya koshuka pale mtu presha yake inaposhuka ghafla. Wakati huo wa matatizo ya kiafya, damu kidogo hufika katika ubongo. Hali hii humfanya mtu awe na kizunguzungu au kuumwa na kichwa kusiko kuwa kukubwa. Kushuka ghafla kwa presha mara nyingi humtokezea mtu pale anapofanya jambo la haraka kama mtu aliyekaa na kutaka kusimama mara moja. Kitaalamu presha hii inajulikana

kama postural hypotension, orthostatic hypotension, au neurally mediated orthostatic hypotension.
Postural hypotension inachukuliwa ni hali ile ya kushindwa kwa mfumo wa mawasilianao unaojiendesha wenyewe mwilini kufanya kazi yake kikamilifu (autonomic nervous system). Mfumo huu huendesha na kuongoza vitendo visivyo vya hiari (involuntary vital actions), kama vile

mapigo ya moyo kubadilika kutokana na jambo lililotokea kwa wakati uleopo. Kwa kawaida unapoinuka, kiwango fulani cha damu yako kinakuwa kimebaki sehemu ya chini(miguuni). Kukiwa hakuna hatua yeyote iliyochukuliwa na mwili wako, hali hii itasababisha presha yako kushuka. Katika hali hii mwili wako unafanya nini ?

Mwili wako unapeleka taarifa kwenye moyo na kuamuru uongeze usukumaji wa damu ambao utaizidi mishipa yako na kuifanya kuwa membamba hali itakayopelekea kuifanya presha yako kubakia ileile. Ikiwa jambo hili halikufanyika au limaefanyika polepole sana, presha yako itashuka ghafla. Hapa ndipo mtu unapomuona anaguka ghafla.

Kwa ufupi athari ya maradhi ya presha ya kushuka na ya juu huongezeka kadri mtu anapokuwa na umri mkubwa na pia kubadilikabadilika kadri umri unavyoongezeka. Jambo jengine la kufahamu ni kuwa, ufikaji wa damu kikawaida kwenye ubungo unapungua kadri umri unavyoongezeka. Inakisiwa kiasi cha asilimia 10 mpaka 20 ya watu wenye umri unaozidi miaka 65, wanapata tatizo la presha yao kushuka.

Ni kiwango gani cha presha kinapofika ndio huwa maradhi ?
Hakuna kiwango maalum kinachojulikana ambacho ni sawasawa kwa watu wote kikifika ndio kinaitwa maradhi. Kiwango ambacho kwako ndio uzima, basi huenda kwa mwenzako ikawa ni maradhi. Katika presha ya kushuka, madaktari wengi huchukulia kuwa tayari mtu ana

maradhi pale aambapo kiwango chake cha presha kinafuatana na dali za maradhi yenyewe.
Hata hivyo, baadhi ya wataalamu wanachukulia tayari mtu ana maradhi ya presha ya kushika pale vipimo vinapoonyesha kiwango hichi 90/60 mm Hg. Tufahamu kuwa kiwango cha namba inayosomwa chini katika kipimo cha presha (… /60 mm Hg ), hichi huonyesha tayari mtu huyu

anapresha
ya chini hata kama kile cha juu ( 90/…mm Hg) kina namba iliyozidi 100. Mfano ikiwa umepimwa presha na ukapata kipimo hichi 115/60 mm Hg, presha yako itakuwa ipo chini. Na kama umepata kipimo hichi 115/50 mm Hg, sio kwamba presha yako itakuwa ipo chini tu, bali presha hii itakuwa si ya kawaida.

Dalili za maradhi

Kama nilivyokwisha tangulia kusema, presha inaweza kuwa sawa kati ya watu wawili lakini ikawa na matokeo tofauti. Presha hiyo inayoweza kuwa sawa na ikawa na matokeo tofauti si yenye kipimo hichi 120/80 mm Hg. Presha yenye kipimo hichi 120/80 mm Hg, ndiyo nzuri na watu wenye presha hii wanakuwa na afya nzuri. Kitu muhimu ni kujua, mabadiliko gani yanaleta tatizo katika presha hata inapelekea kuwa si ya kawaida.

Presha
nyingi za watu wanapopimwa huwa zinakuwa kati ya 90/60 mm Hg (presha iliyo chini) mpaka 130/80 mm Hg (presha iliyo juu). Mabadiliko ya kushuka presha upande wa chini, hata kama kidogo kiasi cha 20 mm Hg, hupelekea matatizo kwa baadhi ya watu ( hasa watu wasiofanya mazoezi kila siku).

Mtu mwenye mazoezi ambae presha yake nzuri (120/80 mm Hg) akapimwa presha na kupata kipimo hichi, 110/60 mm au 120/70 mm Hg, mtu huyu hatakuwa na tatizo lolote la presha
Kuna aina tatu za presha ya kushuka :

Ø
Orthostatic sambamba na postprandial orthostatic (Orthostatic hypotension, including postprandial orthostatic hypotension)
Orthostatic, hii ni aina ya kwanza ya presha inayosababishwa na kubadili mazingira uliyonayo kwa ghafla, maranyingi hutokea kwa mtu anayesimama kutoka alipolala. Presha hii haidumu muda mrefu, kiasi cha sekunde chache mpaka dakika moja. Ikiwa presha hii itatokezea

baada ya kula, basi itakuwa ni hatua ya pili (postprandial orthostatic) .Hatua hii ya pili huwapata zaidi wazee na wenye presha ya juu.
Ø Neurally mediated hypotension (NMH)
NMH kama ilivyo kifupisho cha presha aina ya pili, huwapata zaidi vijana na watoto. Presha hii hutokea pale mtu anaposimama kwa muda mrefu. Maranyingi huwapata sana watoto.

Aina hii ya pili ya presha ya kushuka maranyingi husababishwa na hali zifuatazo :
• Utumiaji wa pombe
• Utumiaji wa dawa za kutibu presah ya juu.
• Utumiaji wa dawa za kumtoa fahamu mtu wakati wa kufanyiwa upasuaji

Mambo mengine yanayosababisha presha kushuka ni pamoja na :

• Ugonjwa wa Kusukari
• Mtu kula kitu kinachomdhuru
• Mapigo ya moyo yasiyo ya kawaida
• Maradhi ya kuharisha
• Kuzimia
• Maradhi ya moyo
• Maradhi ya kustuka

Ø
Severe hypotension hii ni aina ya tatu ya presha ya kushuka ambayo hutokana na kpoteza damu

Kwa muhtasari, dalili za presha ya kushuka ni pamoja na :

• Kuona kizunguzungu/kuumwa na kichwa kusiko kuwa kukubwa
• Kuzimia
• Kushindwa kuzingatia
• Kushindwa kuona vizuri ghafla
• Kuona baridi,
• Kujihisi kuchoka sana
• Kuvuta pumzi kwa tabu
• Kutapika
• Kuhisi kiu

Hali zinazosababisha kupata presha ya kushuka.

Kinachosababisha presha ya chini bado hakijatambulika hasa. Chanzo chake hakiko wazi. Hata hivyo mambo yafuatayo yanaweza kuhusiswa nayo :
• Kuwa na mimba
• Matatizo ya homoni mwilini, maradhi ya kisukari, au upungufu wa sukari mwilini
• Utumiaji mkubwa wa dawa
• Ulaji wa dawa za presha unaopindukia kiwango (Overdose) kwa mtu mwenye presha ya juu.
• Maradhi ya moyo
• Maradhi ya figo

Nani anapata presha ya kushuka ghafla ?
Presha ya kushuka ghafla inayompata mtu anapoinuka ghafla, inaweza kumpata mtu yeyote kwa sababu tofauti zikiwemo,
o kuharisha sana,
o kukosa chakula ( njaa kali) kwa muda mrefu,
o kusimama kwa mapigo ya moyo, au
o kuchoka kupita kiasi.
o Pia inawezekana ikawa ni urithi wa maradhi,
o umri mkubwa,
o matumizi ya dawa,
o utapiamlo na
o mambo mengine kama kupatwa na madhara ya jambo fulani.

Nini kinaifanya presha inayoshuka iendelee ?

Pia Presha ya kushuka mara nyingi huwapata watu wanaotumai dawa kwa kutibu presha ya juu (hypertension). Pia huwapata wajawazito au wagonjwa wa kisukari. Mara nyingi wazee nao hupata maradhi haya hasa wale walio na presha ya juu wakiwa wanaendelea kutumia dawa zao za presha.

Baadhi ya maradhi ambayo yanasababisha presha kushuka kuendelea ni pamoja na
ü ukosefu wa vitamin mwilini,
ü madhara kwenye uti wa mgongo, na
ü kensa hasa kensa ya mapafu.

Wakati gani wa kuchukua hatua za matibabu

Matibabu huanza na hatua zako wewe mwenyewe. Wakati utakapojiona presha yako inashuka, kaa chini au lala chali na unyanyue miguu yako juu. Wakati yanafanyika haya, ufanyike utaratibu wa kuonana na daktari haraka. Pia ufanyike utaratibu wa kuonana na daktari yanapoonekana mambo yafuatayo yamemkuta mtu :
• Maumivu ya kifua
• Kizunguzungu
• Kuzimia
• Homa kali sana
• Mapigo ya moyo yasiyo ya kawaida
• Kupumua kwa tabu

Pia afuatwe daktari haraka ikiwa baada ya hayo yaliyotokea, kuongezeka na haya yafuatayo :
• Mtu anapata matatizo makubwa ya mkojo
• Kushinwa kula au kunywa chochote
• Kuendelea kuharisha au kutapika kwa muda mrefu

Matibabu na Dawa

Presha ya kushuka ambayo haijulikani chanzo chake wala haileti dalili au inampa mtu kizunguzungu anaposimama, mara chache inaweza kutafutiwa matibabu. Ikiwa zipo dalili, matibabu yataendana na chanzo chenyewe na daktari atashughulikia hicho chanzo. ( kuharisha,maradhi ya moyo, kisukari). Ikiwa presha ya chini imesababishwa na matumizi ya dawa kwa matibabu, basi matibabu yake huwa kubadili dawa nyengine ua kuacha kutumia dawa kabisa.

Ikiwa hakuna uhakika wa sababu za presha ya kushuka au hayapatikani matibabu yaliyo sahihi, matibabu sahihi yatakuwa ni kuifanya presha yako ipande na kuondoa zile dalili zanazokupata inapokujia.
Kwa kutegemea umri wako, hali yako ya kiafya na aina ya presha uliyonayo, mambo haya yanaweza kukusaidia :

Ø
Kuongeza matumizi ya chumvi. Matumizi ya chumvi lazima yawe kwa kipimo, kwani chumvi nyingi hupandisha presha. Kabla hujaanza kuongeza matumizi ya chumvi, ni vizuri uwasiliane na daktari ili akupe kiwango cha matumizi.

Ø
Kunywa maji mengi. Kunywa maji mengi kunamsaidia kila mtu sio mtu mwenye presha ya chini tu. Tunapozungumzia maji tunalenga zaidi vinywaji na sio maji peke yake, lakini vinywaji vyenyewe view ni maji, maji ya matunda maziwa na hata kahawa au chai. Tahadhari ichukuliwe kwa vinywaji vya viwandani kwani huwaletea matatizo baadhi ya watu.

Ø
Kuvaa mavazi yenye kubana. Haya ni mavazi ya mpira ambayo yanavaliwa sehemu za miguuni. Mavazi haya yanasaidia kufanya damu yako isikae miguuni na iendelee kwenye mzonguko wake kikawaida.
Ø Matumizi ya dawa. Zipo dawa mbalimbali ambazo zinatumika kufuatana na hali ya presha uliyonayo.
Matibabu hospitalini.

Presha ya kushuka inayomtokezea mtu mwenye afya nzuri ambayo haina dalili zozote na haimletei matatizo yeyote, hatahitajika kutumia dawa.Ikiwa zipo dalili, atahitaji matibabu kutokana na hizo dalili zilizoonekana.Ikiwa presha ulokuwa nayo inatokana na matumizi ya dawa, daktari atakubadilishia dawa nyengine au utaacha matumizi ya dawa. Wale wenye NMH pamoja na matumizi ya dawa, inabidi waache tabia

ya kusimama muda mrefu. Kimtazamo presha ya chini inatibika hata kufikia mtu kuwa na presha ya kawaida.
Napenda nichukue nafasi hii kuwafahamisha kuwa, bila kubadili mfumo wa maisha ulionao, hata ukikusanyiwa dawa nzuri za dunia nzima kwa kutibu maradhi yako hutopata uzima wowote. Kubadili mfumo wa maisha si katika kuishughulikia presha tu, bali kwa maradhi yote ndio

tiba sahihi.
Nini dawa zinafanya ?. Dawa zinalazimisha kuurudisha mfumo katika hali yake ya kawaida tu. Baada ya dawa kutoa msaada wake huu, kinachotakiwa kwako wewe kuendeleza mfumo huo unaofaa ambao dawa zimekurudishia tena.
Kwa kutegemea sababu za kupata presha uliyonayo, unaweza kuchukua hatua zifuatazo :

§
Kunywa maji mengi, kuacha kunywa pombe, Kula vyakula kiafya (kula nafaka, matunda, mbogamboga, kula mifupa ya samaki na hata ya ndege[kuku,njiwa nk]) Tupendelee kuku wa kienyeji zaidi. Ikiwa kuongeza chumvi katika chakula, basi usizidishe vijiko viwili vya chai kwa siku na ni vizuri sana upate ushauri kwa daktari.

§
Kujenga utamaduni wa kuinuka taratibu ulipo kaa ua kulala. kulalia mto, ikiwa unapenda kunalalia ubavu, pendelea kulalia upande wa kulia (kila unapozungumzia presha, basi jambo la kwanza la kukumbuka ni moyo, moyo wako uko upande wa kushoto, kitendo cha kulalia upande wa kushoto kinaweza kuupa tabu moyo katika utendaji wake wa kazi).

§
Kuwa na tabia ya kula chakula kidogo katika mlo wako. Kufanya hivyo kunasaidia presha yako kutoshuka baada ya kumaliza kula. Jipangie utaratibu wa kula mara kwa mara ili uweze kula chakula cha kutosha. Punguza kula vyakula vyenye uwanga kwa wingi kama vile, mbatata, wali na mikate. Kula chakula pamoja na chai au kahawa. Ni vizuri haya yote utakayoyafanya ukawasiliana na daktari kabla.

Kinga ya presha.

Ikiwa wewe ni mzima au tayari una presha ya kushuka, daktari atakushauri hatua za kuzuia isitokee au isiendelee au kuipunguza. Hatua hizo ni pamoja na :
1. Kuacha unywaji wa pombe.
2. Kuepuka kusimama muda mrefu ( hasa ikiwa tayari una NMH)
3. Kunywa maji ya uvuguvugu kwa wingi
4. Kuinuka taratibu kutoka ulipokaa ua kulala
5. Kuvaa mavazi ya kubana miguuni (ikiwa tayari unayo)
 
HYPOTENSION : Low Blood Pressure
Ifahamu Presha ya kushuka

Nini presha ya kushuka ?

Hypotension ndio jina alinalotumika kuelezea presha ya kushuka (90/60 mm Hg) ambayo huonekana kutokuwa na sababu iliyoifanya itokee.Kipimo cha presha huwa na namba mbili. Namba moja huwa juu na nyengine huwa chini.

Hypotension (haipo juu)
. Kwa watu wengi presha hii huwatia kizunguzungu na kuwaangusha. Presha hii ikiwa ya muda mrefu husababisha mtu kupata maradhi ya mshtuko.Watu wenye afya nzuri, hasa wakimbiaji, presha ya kushuka huwa ni dalili ya uzima kwao.
Si rahisi kuziona dalili kwa mtu mwenye presha ya kushuka hata kama imedumu kwa muda mrefu. Mara nyingi matatizo ya kiafya huwa ni

dalili ya presha ya koshuka pale mtu presha yake inaposhuka ghafla. Wakati huo wa matatizo ya kiafya, damu kidogo hufika katika ubongo. Hali hii humfanya mtu awe na kizunguzungu au kuumwa na kichwa kusiko kuwa kukubwa. Kushuka ghafla kwa presha mara nyingi humtokezea mtu pale anapofanya jambo la haraka kama mtu aliyekaa na kutaka kusimama mara moja. Kitaalamu presha hii inajulikana

kama postural hypotension, orthostatic hypotension, au neurally mediated orthostatic hypotension.
Postural hypotension inachukuliwa ni hali ile ya kushindwa kwa mfumo wa mawasilianao unaojiendesha wenyewe mwilini kufanya kazi yake kikamilifu (autonomic nervous system). Mfumo huu huendesha na kuongoza vitendo visivyo vya hiari (involuntary vital actions), kama vile

mapigo ya moyo kubadilika kutokana na jambo lililotokea kwa wakati uleopo. Kwa kawaida unapoinuka, kiwango fulani cha damu yako kinakuwa kimebaki sehemu ya chini(miguuni). Kukiwa hakuna hatua yeyote iliyochukuliwa na mwili wako, hali hii itasababisha presha yako kushuka. Katika hali hii mwili wako unafanya nini ?

Mwili wako unapeleka taarifa kwenye moyo na kuamuru uongeze usukumaji wa damu ambao utaizidi mishipa yako na kuifanya kuwa membamba hali itakayopelekea kuifanya presha yako kubakia ileile. Ikiwa jambo hili halikufanyika au limaefanyika polepole sana, presha yako itashuka ghafla. Hapa ndipo mtu unapomuona anaguka ghafla.

Kwa ufupi athari ya maradhi ya presha ya kushuka na ya juu huongezeka kadri mtu anapokuwa na umri mkubwa na pia kubadilikabadilika kadri umri unavyoongezeka. Jambo jengine la kufahamu ni kuwa, ufikaji wa damu kikawaida kwenye ubungo unapungua kadri umri unavyoongezeka. Inakisiwa kiasi cha asilimia 10 mpaka 20 ya watu wenye umri unaozidi miaka 65, wanapata tatizo la presha yao kushuka.

Ni kiwango gani cha presha kinapofika ndio huwa maradhi ?
Hakuna kiwango maalum kinachojulikana ambacho ni sawasawa kwa watu wote kikifika ndio kinaitwa maradhi. Kiwango ambacho kwako ndio uzima, basi huenda kwa mwenzako ikawa ni maradhi. Katika presha ya kushuka, madaktari wengi huchukulia kuwa tayari mtu ana

maradhi pale aambapo kiwango chake cha presha kinafuatana na dali za maradhi yenyewe.
Hata hivyo, baadhi ya wataalamu wanachukulia tayari mtu ana maradhi ya presha ya kushika pale vipimo vinapoonyesha kiwango hichi 90/60 mm Hg. Tufahamu kuwa kiwango cha namba inayosomwa chini katika kipimo cha presha ( /60 mm Hg ), hichi huonyesha tayari mtu huyu

anapresha
ya chini hata kama kile cha juu ( 90/mm Hg) kina namba iliyozidi 100. Mfano ikiwa umepimwa presha na ukapata kipimo hichi 115/60 mm Hg, presha yako itakuwa ipo chini. Na kama umepata kipimo hichi 115/50 mm Hg, sio kwamba presha yako itakuwa ipo chini tu, bali presha hii itakuwa si ya kawaida.

Dalili za maradhi

Kama nilivyokwisha tangulia kusema, presha inaweza kuwa sawa kati ya watu wawili lakini ikawa na matokeo tofauti. Presha hiyo inayoweza kuwa sawa na ikawa na matokeo tofauti si yenye kipimo hichi 120/80 mm Hg. Presha yenye kipimo hichi 120/80 mm Hg, ndiyo nzuri na watu wenye presha hii wanakuwa na afya nzuri. Kitu muhimu ni kujua, mabadiliko gani yanaleta tatizo katika presha hata inapelekea kuwa si ya kawaida.

Presha
nyingi za watu wanapopimwa huwa zinakuwa kati ya 90/60 mm Hg (presha iliyo chini) mpaka 130/80 mm Hg (presha iliyo juu). Mabadiliko ya kushuka presha upande wa chini, hata kama kidogo kiasi cha 20 mm Hg, hupelekea matatizo kwa baadhi ya watu ( hasa watu wasiofanya mazoezi kila siku).

Mtu mwenye mazoezi ambae presha yake nzuri (120/80 mm Hg) akapimwa presha na kupata kipimo hichi, 110/60 mm au 120/70 mm Hg, mtu huyu hatakuwa na tatizo lolote la presha
Kuna aina tatu za presha ya kushuka :

Ø
Orthostatic sambamba na postprandial orthostatic (Orthostatic hypotension, including postprandial orthostatic hypotension)
Orthostatic, hii ni aina ya kwanza ya presha inayosababishwa na kubadili mazingira uliyonayo kwa ghafla, maranyingi hutokea kwa mtu anayesimama kutoka alipolala. Presha hii haidumu muda mrefu, kiasi cha sekunde chache mpaka dakika moja. Ikiwa presha hii itatokezea

baada ya kula, basi itakuwa ni hatua ya pili (postprandial orthostatic) .Hatua hii ya pili huwapata zaidi wazee na wenye presha ya juu.
Ø Neurally mediated hypotension (NMH)
NMH kama ilivyo kifupisho cha presha aina ya pili, huwapata zaidi vijana na watoto. Presha hii hutokea pale mtu anaposimama kwa muda mrefu. Maranyingi huwapata sana watoto.

Aina hii ya pili ya presha ya kushuka maranyingi husababishwa na hali zifuatazo :
Utumiaji wa pombe
Utumiaji wa dawa za kutibu presah ya juu.
Utumiaji wa dawa za kumtoa fahamu mtu wakati wa kufanyiwa upasuaji

Mambo mengine yanayosababisha presha kushuka ni pamoja na :

Ugonjwa wa Kusukari
Mtu kula kitu kinachomdhuru
Mapigo ya moyo yasiyo ya kawaida
Maradhi ya kuharisha
Kuzimia
Maradhi ya moyo
Maradhi ya kustuka

Ø
Severe hypotension hii ni aina ya tatu ya presha ya kushuka ambayo hutokana na kpoteza damu

Kwa muhtasari, dalili za presha ya kushuka ni pamoja na :

Kuona kizunguzungu/kuumwa na kichwa kusiko kuwa kukubwa
Kuzimia
Kushindwa kuzingatia
Kushindwa kuona vizuri ghafla
Kuona baridi,
Kujihisi kuchoka sana
Kuvuta pumzi kwa tabu
Kutapika
Kuhisi kiu

Hali zinazosababisha kupata presha ya kushuka.

Kinachosababisha presha ya chini bado hakijatambulika hasa. Chanzo chake hakiko wazi. Hata hivyo mambo yafuatayo yanaweza kuhusiswa nayo :
Kuwa na mimba
Matatizo ya homoni mwilini, maradhi ya kisukari, au upungufu wa sukari mwilini
Utumiaji mkubwa wa dawa
Ulaji wa dawa za presha unaopindukia kiwango (Overdose) kwa mtu mwenye presha ya juu.
Maradhi ya moyo
Maradhi ya figo

Nani anapata presha ya kushuka ghafla ?
Presha ya kushuka ghafla inayompata mtu anapoinuka ghafla, inaweza kumpata mtu yeyote kwa sababu tofauti zikiwemo,
o kuharisha sana,
o kukosa chakula ( njaa kali) kwa muda mrefu,
o kusimama kwa mapigo ya moyo, au
o kuchoka kupita kiasi.
o Pia inawezekana ikawa ni urithi wa maradhi,
o umri mkubwa,
o matumizi ya dawa,
o utapiamlo na
o mambo mengine kama kupatwa na madhara ya jambo fulani.

Nini kinaifanya presha inayoshuka iendelee ?

Pia Presha ya kushuka mara nyingi huwapata watu wanaotumai dawa kwa kutibu presha ya juu (hypertension). Pia huwapata wajawazito au wagonjwa wa kisukari. Mara nyingi wazee nao hupata maradhi haya hasa wale walio na presha ya juu wakiwa wanaendelea kutumia dawa zao za presha.

Baadhi ya maradhi ambayo yanasababisha presha kushuka kuendelea ni pamoja na
ü ukosefu wa vitamin mwilini,
ü madhara kwenye uti wa mgongo, na
ü kensa hasa kensa ya mapafu.

Wakati gani wa kuchukua hatua za matibabu

Matibabu huanza na hatua zako wewe mwenyewe. Wakati utakapojiona presha yako inashuka, kaa chini au lala chali na unyanyue miguu yako juu. Wakati yanafanyika haya, ufanyike utaratibu wa kuonana na daktari haraka. Pia ufanyike utaratibu wa kuonana na daktari yanapoonekana mambo yafuatayo yamemkuta mtu :
Maumivu ya kifua
Kizunguzungu
Kuzimia
Homa kali sana
Mapigo ya moyo yasiyo ya kawaida
Kupumua kwa tabu

Pia afuatwe daktari haraka ikiwa baada ya hayo yaliyotokea, kuongezeka na haya yafuatayo :
Mtu anapata matatizo makubwa ya mkojo
Kushinwa kula au kunywa chochote
Kuendelea kuharisha au kutapika kwa muda mrefu

Matibabu na Dawa

Presha ya kushuka
ambayo haijulikani chanzo chake wala haileti dalili au inampa mtu kizunguzungu anaposimama, mara chache inaweza kutafutiwa matibabu. Ikiwa zipo dalili, matibabu yataendana na chanzo chenyewe na daktari atashughulikia hicho chanzo. ( kuharisha,maradhi ya moyo, kisukari). Ikiwa presha ya chini imesababishwa na matumizi ya dawa kwa matibabu, basi matibabu yake huwa kubadili dawa nyengine ua kuacha kutumia dawa kabisa.

Ikiwa hakuna uhakika wa sababu za presha ya kushuka au hayapatikani matibabu yaliyo sahihi, matibabu sahihi yatakuwa ni kuifanya presha yako ipande na kuondoa zile dalili zanazokupata inapokujia.
Kwa kutegemea umri wako, hali yako ya kiafya na aina ya presha uliyonayo, mambo haya yanaweza kukusaidia :

Ø
Kuongeza matumizi ya chumvi. Matumizi ya chumvi lazima yawe kwa kipimo, kwani chumvi nyingi hupandisha presha. Kabla hujaanza kuongeza matumizi ya chumvi, ni vizuri uwasiliane na daktari ili akupe kiwango cha matumizi.

Ø
Kunywa maji mengi. Kunywa maji mengi kunamsaidia kila mtu sio mtu mwenye presha ya chini tu. Tunapozungumzia maji tunalenga zaidi vinywaji na sio maji peke yake, lakini vinywaji vyenyewe view ni maji, maji ya matunda maziwa na hata kahawa au chai. Tahadhari ichukuliwe kwa vinywaji vya viwandani kwani huwaletea matatizo baadhi ya watu.

Ø
Kuvaa mavazi yenye kubana
. Haya ni mavazi ya mpira ambayo yanavaliwa sehemu za miguuni. Mavazi haya yanasaidia kufanya damu yako isikae miguuni na iendelee kwenye mzonguko wake kikawaida.
Ø Matumizi ya dawa. Zipo dawa mbalimbali ambazo zinatumika kufuatana na hali ya presha uliyonayo.
Matibabu hospitalini.

Presha ya kushuka inayomtokezea mtu mwenye afya nzuri ambayo haina dalili zozote na haimletei matatizo yeyote, hatahitajika kutumia dawa.Ikiwa zipo dalili, atahitaji matibabu kutokana na hizo dalili zilizoonekana.Ikiwa presha ulokuwa nayo inatokana na matumizi ya dawa, daktari atakubadilishia dawa nyengine au utaacha matumizi ya dawa. Wale wenye NMH pamoja na matumizi ya dawa, inabidi waache tabia

ya kusimama muda mrefu. Kimtazamo presha ya chini inatibika hata kufikia mtu kuwa na presha ya kawaida.
Napenda nichukue nafasi hii kuwafahamisha kuwa, bila kubadili mfumo wa maisha ulionao, hata ukikusanyiwa dawa nzuri za dunia nzima kwa kutibu maradhi yako hutopata uzima wowote. Kubadili mfumo wa maisha si katika kuishughulikia presha tu, bali kwa maradhi yote ndio

tiba sahihi.
Nini dawa zinafanya ?. Dawa zinalazimisha kuurudisha mfumo katika hali yake ya kawaida tu. Baada ya dawa kutoa msaada wake huu, kinachotakiwa kwako wewe kuendeleza mfumo huo unaofaa ambao dawa zimekurudishia tena.
Kwa kutegemea sababu za kupata presha uliyonayo, unaweza kuchukua hatua zifuatazo :

§
Kunywa maji mengi, kuacha kunywa pombe, Kula vyakula kiafya (kula nafaka, matunda, mbogamboga, kula mifupa ya samaki na hata ya ndege[kuku,njiwa nk]) Tupendelee kuku wa kienyeji zaidi. Ikiwa kuongeza chumvi katika chakula, basi usizidishe vijiko viwili vya chai kwa siku na ni vizuri sana upate ushauri kwa daktari.

§
Kujenga utamaduni wa kuinuka taratibu ulipo kaa ua kulala. kulalia mto, ikiwa unapenda kunalalia ubavu, pendelea kulalia upande wa kulia (kila unapozungumzia presha, basi jambo la kwanza la kukumbuka ni moyo, moyo wako uko upande wa kushoto, kitendo cha kulalia upande wa kushoto kinaweza kuupa tabu moyo katika utendaji wake wa kazi).

§
Kuwa na tabia ya kula chakula kidogo katika mlo wako. Kufanya hivyo kunasaidia presha yako kutoshuka baada ya kumaliza kula. Jipangie utaratibu wa kula mara kwa mara ili uweze kula chakula cha kutosha. Punguza kula vyakula vyenye uwanga kwa wingi kama vile, mbatata, wali na mikate. Kula chakula pamoja na chai au kahawa. Ni vizuri haya yote utakayoyafanya ukawasiliana na daktari kabla.

Kinga ya presha.

Ikiwa wewe ni mzima au tayari una presha ya kushuka, daktari atakushauri hatua za kuzuia isitokee au isiendelee au kuipunguza. Hatua hizo ni pamoja na :
1. Kuacha unywaji wa pombe.
2. Kuepuka kusimama muda mrefu ( hasa ikiwa tayari una NMH)
3. Kunywa maji ya uvuguvugu kwa wingi
4. Kuinuka taratibu kutoka ulipokaa ua kulala
5. Kuvaa mavazi ya kubana miguuni (ikiwa tayari unayo)
Maelezo mazuri sana Kama hutojali naomba msaada wa pressure ya kupanda maana imekuwa shida sana kwangu kila nikipima nakutwa na 170/110mm hg na umri wa ni 30yrs sinywi pombe wala kuvuta sigara Herbalist Dr MziziMkavu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom