Mi mwenyewe huyu ni wa pili ila dah hadi nimekoma ubishi. Na huyu ndio wa mwisho kwakweli maana mahangaiko nayoyapata ni mm na roho yangu tu ndio tunajua.ha ha haaa,mi mtoto huyu ni wa pili nahisi nikijifungua nafunga uzazi ...siwez endelea kujitesa bila sababu....kama anataka zaidi azae nje.mxuuuw