Morning sickness - kichefuchefu kwa mjamzito

Morning sickness - kichefuchefu kwa mjamzito

Kwanza hongera kwa kichochoro kuleta matokeo chanya, na tukija kwenye jambo lako la msingi nikwamba...... hiyo hali haina dawa zaidi ya muda tu. Na maranyingi hua inakua kuanzia wiki ya pili hadi wiki ya tisa, then inakwisha yenyewe.
 
Pole sana kama ni wewe, same situation inamtokea wife, yaani ni amepungua sio poa alikuwa kibonge ila now ananikaribia, Hosp wamesema hiyo hali haina tiba itaacha yenyewe tu mimba ikikomaa, pia sio vizuri kumezameza dawa ukiwa mjamzito... BTW hongera.
 
Conglatulations👏👏👏

Eat something small as soon as you wake up..although you were almost certainly woken by nausea so it is probably too late.. Also only eat simple bland foods that you can handle..like crackers..But don't eat any foods that will spike your blood sugar..like crackers
And don't go on an empty stomach

Avoid coffee..which can make your nausea worse.. Instead..take unisom+B6 twice a day..because you can't be nauseous when you are unconscious. Also..take it on the empty stomach you could not possible tolerate

Avoid strong smells..such as peppermint..ginger and the god-awful..unmistakable vitamin -smell..but always take your vitamins..Also..peppermint and ginger can help with nausea.. so keep some on hand at all times😊👋
 
. Also only eat simple bland foods that you can handle..like crackers..But don't eat any foods that will spike your blood sugar..like crackers
Sijaelewa 80% ya comment yako
Lakini hapo nilipobold ndio umeniacha kabisaa

Mleta mada The Genius jaribu vomidoxine....japo unaweza kumshirikisha daktari kabla hujaanza kutumia
 
Conglatulations[emoji122][emoji122][emoji122]

Eat something small as soon as you wake up..although you were almost certainly woken by nausea so it is probably too late.. Also only eat simple bland foods that you can handle..like crackers..But don't eat any foods that will spike your blood sugar..like crackers
And don't go on an empty stomach

Avoid coffee..which can make your nausea worse.. Instead..take unisom+B6 twice a day..because you can't be nauseous when you are unconscious. Also..take it on the empty stomach you could not possible tolerate

Avoid strong smells..such as peppermint..ginger and the god-awful..unmistakable vitamin -smell..but always take your vitamins..Also..peppermint and ginger can help with nausea.. so keep some on hand at all times[emoji4][emoji112]
My Dr hivi mama mjamzito anatakiwa kuanza clinic mimb ikiwa na week ngap? Maana wangu bado ajaanza na mimba ina week 8 saiv
 
Ata Mimi wangu hivyo leo kanipigia nimletee box la pipi Jana katapika sana
 
Sijaelewa 80% ya comment yako
Lakini hapo nilipobold ndio umeniacha kabisaa

Mleta mada The Genius jaribu vomidoxine....japo unaweza kumshirikisha daktari kabla hujaanza kutumia
Joanah
Pole kwa kutokuelewa sidhani kama ni kosa langu😊

Crackers ni aina ya Coockies au light foods zilizokua categories in two forms kuna zenye kuchochea blood sugar kwa Mjamzito ambazo ni hatari kwa Mjamzito na kuna zenye kujenga Afya ya Mjamzito..zilizo nzuri ni kama Tende..chaula..biscuits with low sugar (light biscuits)..Korosho..Karanga etc
 
Hiyo hali huisha taratibu kadri mimba inavyokua.
Ila kama unapata shida sana jaribu tangawizi mwaya,unaweza tafuna ama ukaichemsha na maji ukanywa kama chai,huwa inasaidia sana.

Dawa zipo ila si vizuri kutumia dawa hasa kipindi cha ujauzito bila ushauri wa dr.

Hongera na pole
 
DAwa ambayo wife alienda akapewa baada ya hali kua mbaya sana ni VOMIDOXINE.
KIla la kheri kwenye safari yenu
 
My Dr hivi mama mjamzito anatakiwa kuanza clinic mimb ikiwa na week ngap? Maana wangu bado ajaanza na mimba ina week 8 saiv
Nkundwe Sr

Well thanks kwa swali zuri😊4 weeks ndio mda sahihi anapaswa awe ameshaanza kuhudhuria Clinic..naomba uende nae as soon as posible

1 - Kitaalam/Professional😊 Her missed period is 4 weeks pregnant..But in general

2 - First appointment/dating scan -8 weeksYou get a rundown of timeline specific to your health providers there😊

3 - 12 weeks atapatiwa vipimo aina ya NIPT..NT..Pap if they do it..a couple of swabs (might be self administered if you aren’t getting a pelvic exam) and a bunch of blood testing to have for records and your blood type if you need rhogam😊

4 - 16 weeks- Atafanyiwa Doppler..blood pressure.. maybe urine..Spina bfidia screening😊

5 - 20 weeks- anatomy scan but hii inadepend na Ujauzito endapo akiwa na Complocations

6 - 24 weeks..Ataenda tena kuangaliwa fundal height..Doppler..vitals.. Glucose screening 1 hour happens between now and next appointment

Only if you don’t pass this will you schedule a 3 hour..usually within the week

7 - 28 weeks.. If anatomy scan wanted a growth ultrasound it may happen now.. You may do your glucose screening today but sio kwa kila Mjamzito😊

8 - Akifikisha week ya 32..If growth scan indicated it’s PROBABLY this appointment

Atafanyiwa Tdap..and any other vaccines you need boosters on..Typically tdap..flu..Covid etc

9 - 34 weeks- another check in hapa ni General Preg check up😊

10 - Wiki ya 36..Group b strep swab..If baby is breech an ECV would happen around this time😊

11 - 37 weeks-term.. If you have pre eclampsia you may be induced now.. Cervical checks offered starting now😊

Baby can come at any moment now😊

12 - Wiki ya 38 -Atafanyiwa check in..Might be offered a sweep

13 - 39 weeks- eligible for elective induction if in the states

14 - Wiki ya 40 - due date..An induction will be scheduled at this appointment for 41/42 weeks. .It can be cancelled if you go into labor before then

An NST may be done as well😊

15 - Wiki ya 41 - NST and heavier induction talk..You are now late term and baby needs out in the next week😊

All the best😊🙏🙏🙏
 
Wakuu salamu

Hivi kuna dawa gani ambayo inaweza saidia kupunguza au kuondoa kabisa kichefuchefu kwa mama mjamzito.

Maana kichefuchefu kimezidi sana na kutapika ndio usiseme,ukila tu chakula hakikai tumboni.

Nawasilisha.
Hongereni sana....
Kama ulivyo elekezwa huko juu pia unaweza kumwambia ajaribu kupiga mswaki na kusugua ulimi asubuhi anapoamka na ikiwezekana ajitapishe inaweza msaidia kupunguza kichefu chefu kwa muda, ale kidogo kidogo na vyakula vikavu na tangawizi inasaidia sana kwa wengi,...
Io hali mara nyingi huisha baada ya miezi 3 ya kwanza, lakini kuna wengine huenda na io hali hadi miez 6 wengine hadi wakati wa kujifungua...

Anaweza shauriana na daktari wake kuhusu kutumia dawa(kama vomidoxine e.t.c) kutokana na hali yake.. Sio vizuri kutumia dawa kipindi cha ujauzito bali pale inapobidi na pia mimba hutofautiana.
 
Nkundwe Sr

Well thanks kwa swali zuri[emoji4]4 weeks ndio mda sahihi anapaswa awe ameshaanza kuhudhuria Clinic..naomba uende nae as soon as posible

1 - Kitaalam/Professional[emoji4] Her missed period is 4 weeks pregnant..But in general

2 - First appointment/dating scan -8 weeksYou get a rundown of timeline specific to your health providers there[emoji4]

3 - 12 weeks atapatiwa vipimo aina ya NIPT..NT..Pap if they do it..a couple of swabs (might be self administered if you aren’t getting a pelvic exam) and a bunch of blood testing to have for records and your blood type if you need rhogam[emoji4]

4 - 16 weeks- Atafanyiwa Doppler..blood pressure.. maybe urine..Spina bfidia screening[emoji4]

5 - 20 weeks- anatomy scan but hii inadepend na Ujauzito endapo akiwa na Complocations

6 - 24 weeks..Ataenda tena kuangaliwa fundal height..Doppler..vitals.. Glucose screening 1 hour happens between now and next appointment

Only if you don’t pass this will you schedule a 3 hour..usually within the week

7 - 28 weeks.. If anatomy scan wanted a growth ultrasound it may happen now.. You may do your glucose screening today but sio kwa kila Mjamzito[emoji4]

8 - Akifikisha week ya 32..If growth scan indicated it’s PROBABLY this appointment

Atafanyiwa Tdap..and any other vaccines you need boosters on..Typically tdap..flu..Covid etc

9 - 34 weeks- another check in hapa ni General Preg check up[emoji4]

10 - Wiki ya 36..Group b strep swab..If baby is breech an ECV would happen around this time[emoji4]

11 - 37 weeks-term.. If you have pre eclampsia you may be induced now.. Cervical checks offered starting now[emoji4]

Baby can come at any moment now[emoji4]

12 - Wiki ya 38 -Atafanyiwa check in..Might be offered a sweep

13 - 39 weeks- eligible for elective induction if in the states

14 - Wiki ya 40 - due date..An induction will be scheduled at this appointment for 41/42 weeks. .It can be cancelled if you go into labor before then

An NST may be done as well[emoji4]

15 - Wiki ya 41 - NST and heavier induction talk..You are now late term and baby needs out in the next week[emoji4]

All the best[emoji4][emoji120][emoji120][emoji120]
Thanks My Doctor blessed upon You [emoji3059]
 
Joanah
Pole kwa kutokuelewa sidhani kama ni kosa langu😊

Crackers ni aina ya Coockies au light foods zilizokua categories in two forms kuna zenye kuchochea blood sugar kwa Mjamzito ambazo ni hatari kwa Mjamzito na kuna zenye kujenga Afya ya Mjamzito..zilizo nzuri ni kama Tende..chaula..biscuits with low sugar (light biscuits)..Korosho..Karanga etc
Hahahah dah 😅 eti sio kosa lako
Mbona umejibu kama umekuwa offended?nimeuliza sio kwa ubaya
Lovie Lady najua crackers ni nini

Sentensi yako ndio sijaelewa,rudia kusoma nilipobold...mjamzito anatakiwa kutumia crackers ama hatakiwi?
 
Wakuu salamu

Hivi kuna dawa gani ambayo inaweza saidia kupunguza au kuondoa kabisa kichefuchefu kwa mama mjamzito.

Maana kichefuchefu kimezidi sana na kutapika ndio usiseme,ukila tu chakula hakikai tumboni.

Nawasilisha.
Kama una mimba ubadili na avatar pia.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom