ADAM SMITH
Member
- Apr 8, 2014
- 81
- 23
habari wanajamvi. Mimi
natokea unyamwezin ambapo hutumia asali ya nyuki wadogo ikichanganyw na
mdarasin kitu inakuw kama mti mkavu. Kwenye mechi lazima mtoto aombe
maji ya kunywa, je hapo maeneo ya kwenu mnatumia vyakula gani vya asili
kuongeza nguvu za kiume? Naomba kuwasilisha.
Mchanganyiko huu huongeza pia ashki na nguvu kwa jinsia KE....!
Uji wa shurba...
Mchanganyiko huu huongeza pia ashki na nguvu kwa jinsia KE....!
Loshoro ni balaaa..
Kloriti na Ngorotiihabari wanajamvi. Mimi natokea unyamwezin ambapo hutumia asali ya nyuki wadogo ikichanganyw na mdarasin kitu inakuw kama mti mkavu. Kwenye mechi lazima mtoto aombe maji ya kunywa, je hapo maeneo ya kwenu mnatumia vyakula gani vya asili kuongeza nguvu za kiume? Naomba kuwasilisha.
Kloriti na Ngorotii
Loshoroo ni kwikwi ORIGINAL inapatikana ARUSHA TUU!!loshoro ndo nini na inapatikana wapi?
hii menu balaaaaa!!! unaweza ukarudi shamba kwa utamu wa wawa wa wa .........(nimesahau)...
...parachichi, uji wa karanga, samli, ugali wa mtama/ulezi, mayai ya kienyeji, wali wa kuku(kienyeji), ugali wa mapumba, matobolwa live, asali wali maharage, .....shushia na guinness mbili kavu kavu !!!
...
...parachichi, uji wa karanga, samli, ugali wa mtama/ulezi, mayai ya
kienyeji, wali wa kuku(kienyeji), ugali wa mapumba, matobolwa live,
asali wali maharage, .....shushia na guinness mbili kavu kavu
!!!
habari wanajamvi. Mimi natokea unyamwezin ambapo hutumia asali ya nyuki wadogo ikichanganyw na mdarasin kitu inakuw kama mti mkavu. Kwenye mechi lazima mtoto aombe maji ya kunywa, je hapo maeneo ya kwenu mnatumia vyakula gani vya asili kuongeza nguvu za kiume? Naomba kuwasilisha.