Vyakula na vinywaji vilivyoadimika

madam b cowboy ipo kwa sana tu, na kimbo vilevile. Mi miaka mingi sijaona fagi, kipurepure, bumbwi. Unga wa ubuyu ule mweupe unatiwa na sukaria au chumvi, mabisi ya sukari yalikua yanafanya km balls, sukari za vijiti zilikua zinakatwa kila shape. Ivo ni kwa huku kwetu znz.
 
kwa wale mlioishi Mbeya au Iringa, kuna kitu tulikuwa tunaita VIBAMA hiyo makitu wacha kabisa
 

Angela,
Wakati nilipoenda course Mtwara kuna ungaunga fulani ulikuwa unaitwa Bimbwi,
ni ubuyu wa unga unachanganya na sukari na rangi kidogo.
Ndio huo unaousema?
Hv ushawah kukuingia puani?
Utapiga chafya mpaka asubuhi.
Bisi za sukari zipo pale Century Cinemax Mlimani City.
Na hzo pipi za shape mara ya mwisho niliziona Iringa,kijiji cha Masege.
Almanusura nitoe machozi manake zilinikumbusha miaka mia iliyopita.
Nilinunua box zima kwa hasira.
 
Dawa ya kikohozi ya antepar kwa watoto,cofta,sukari guru

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
kwa wale mlioishi Mbeya au Iringa, kuna kitu tulikuwa tunaita VIBAMA hiyo makitu wacha kabisa
vile vya ndizi enhe vilikuwa vyeusi hivi!wacha kabisa vitamu ajabu
 


unafahamu vitu vinaitwa VISHETI na GUMITI....?
 
dengu na vibaragala enzi za primary
 
Wangu magimbi na mbillimbi umewai kula?

1. Burger na Pizza (Tandale kwa Mtogole)

2. Cheese (Manzese kwa Mfuga Mbwa)

3. HotDog (Manzese uwanja wa Fisi)
 
mimi nakumbuka enzi za sindano ya PAM,hiyo ndo ilikuwa kiboko ya kisonono,wakati huo tunayaita mafua.
Babu Dc salam aleikum.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…