mfanyakazfake
Member
- Feb 14, 2023
- 23
- 42
Nilichojifunza kwenye hii Dunia ni kwamba vitu vyote vya kurithi havina maumivu au machungu katika maisha ya mtumiaji, aliyevirithi atatumia hovyo hovyo tu hata kama atarithishwa nchi/ Dunia bado ataitumia vibaya tu kwa sababu hana machungu nayo.
Tujitahidi kurithisha watu maarifa badala ya kuwarithisha mali na vitu vingine kwani mali na vingine watavitumia vibaya kwa sababu hawana machungu nazo
Tujitahidi kurithisha watu maarifa badala ya kuwarithisha mali na vitu vingine kwani mali na vingine watavitumia vibaya kwa sababu hawana machungu nazo